Wizara ya Elimu Yawaasa Vijana Kutumia Elimu Kujiajiri
Na Jacquiline Mrisho-MaelezoSERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi imewaasa vijana waliomaliza shule kuacha kujibetweka bali watumie elimu waliyoipata kujitafutia...
View ArticleTAZAMA MATUKIO MBALIMBALI BUNGENI MJINI DODOMA LEO
Baadhi ya Wabunge wakielekea katika ukumbi wa bunge kuhudhuria mkutano wa nne(4) wa bunge la kumi na moja (11) la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.Baadhi ya Wabunge wakiingia katika...
View ArticleHongereni sana Mr and Mrs David mangesho
Hongereni sana Mr and Mrs David mangeshoSarah walishana na mumewe hongera sanaMc nikiwajikaHongera wachanga kwa kudumisha utamadun wenu Mc kazini Nipo na wakali wangu wapambanaji wenzangu hawa...
View ArticleWasichana Kunigombania Siyo Dhambi – Steve Nyerere
Msanii mkongwe wa filamu Steve Nyerere amedai wasichana kugombana kwa ajili ya staa ni jambo la kawaida hivyo yeye ashangai kusikia bado kuna wasichana wanagombana kwa ajili yake.Akiongea katika...
View ArticleHongera Sana Happy kwa hatua hii Usiku wako Ulinogaa sanaa
Binti wa kinyarwanda kanoga hongera Sana happy kwa hatua hii Mc nikiendelea kuwajibikaBi harus mtarajiwa akikata keki Mc Kazini Bi harus mtarajiwa happy ktk pozi Mc ktk poziFull kucheza kama...
View ArticleHongera sana jack usiku wako ulikua wa furaha sanaaa
Hongera sana bi harusi mtarajiwa jack Jack akitabasamu kwa furahaMc dr cheni na bi harus mtarajiwa jackBi harus mtarajiwa akikata keki Kitu cha ndafu shikamooo wachaga Bi harusi mtarajiwa jack akiwa...
View ArticleMr Blue, Barakah Da’ Prince Wapatana
BAADA ya kutibuana kisa kikiwa Naj, hatimaye wakali wa Bongo Fleva, Mr Blue na Barakah Da’ Prince wameamua kuwa kitu kimoja.Wawili hao walipatana saa chache kabla ya kufanyika Tamasha la Fiesta...
View ArticleKAMANDA SIRRO AWATOA HOFU WANAPANGAJI WA NYUMBA ZA WAGENI JIJINI DAR
Kamishna wa Polisi Kanda Maalum Dar Es Salaam anatoa rai kwa wakazi wa Jiji la Dar Es salaam na wageni wanaoingia jijini wakitokea mikoani kupuuza taarifa za sauti zinazozagaa katika mitandao ya...
View ArticleAJALI MBAYA IMETOKEA JANA ENEO LA PALM BEACH DAR
Kuna ajali imetokea eneo la Palm Beach muda wa saa 12:15 asubuhi ya BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
View ArticleMakamu wa Rais: Viongozi Na Watumishi Wa Umma Kuchukuliwa Hatua Kali Iwapo...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameiagiza Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Nchi kuchunguza na kuwachukulia hatua kisheria na za kinidhamu viongozi na...
View ArticleAlikiba Aelezea ‘King Kiba’ ilikotokea, Adai si Mtu wa Maringo
Alikiba ametoa ufafanuzi wa wapi #KingKiba ilitokea kiasi cha kuitumia katika sehemu nyingi.Akiongea kwenye kipindi cha Ngaz Kwa Ngaz kilichoruka Alhamis hii kupitia EATV, Kiba alisema ni mashabiki...
View ArticleMama Rwakatare awatoa wafungwa 12 gereza la Keko
Mchungaji wa kanisa la Mikocheni B Assemblies of God, Askofu Dr Getrude Rwakatare, amewatoa wafungwa 12 waliokuwa wamefungwa kwenye gereza la Keko jijini Dar es Salaam huku lengo ni kuwatoa wafungwa 78...
View ArticleRais Magufuli ateua Makatibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa na Mara
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 09 Septemba, 2016 amemteua Bw. Ado Steven Mapunda kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara.Bw. Ado Steven Mapunda anachukua nafasi...
View ArticleYALIYOJIRI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
Waziri wa Habari, Utaamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (MB) akiwaeleza jambo Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini Mhe. Peter Msigwa (Katikati)na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. George...
View ArticleHappy birthday mtu wangu wa nguvu @_donnyrowland mungu akuongoze ufikie...
Happy birthday mtu wangu wa nguvu @_donnyrowland@_donnyrowland mungu akuongoze ufikie malengo yako #sawayafamily#sawayafamily
View ArticleHappy birthday mrembo wa nguvuu @__swizysawaya mungu akuongozeeee kwa kila...
Happy birthday mrembo wa nguvuu @__swizysawaya@__swizysawaya naye kazaliwa leo nisaidien kum wish @__swizysawaya#sawayafamily#sawayafamily mungu akuongozeeee kwa kila jambo
View ArticleHONGERA SANA JULIETH USIKU WAKO ULIKUA WA KIPEKEE
Hngera sana julieth kwa hatua uliyofikia mda sio mrefu utakua kwa mumewe Umenogaa sanaaaKama kawaida kati nipo mwenyewee Semaaa cheniiiiiiiiiiiiTeam Efc ndani Efc full kunogaaaa Wageni waalikwa...
View ArticleMtangazaji wa Clouds Tv ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Wilaya
Leo Septemba 10, Rais Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya 11, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji 1 na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa 1 ili kujaza...
View ArticleHongera sanà rosemary kwa hatua hii
Hongera sanà rosemary kwa hatua hii Mungu azidi kukufungulia milango ya kheri Mc kazini Wageni waalikwa walipendeza
View Article