Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Lugha ya Kiswahili yapitishwa kuwa lugha rasmi ya Afrika Mashariki

$
0
0
Bunge la Afrika Mashariki limepitisha azimio la kuifanya lugha ya kiswahili kuwa lugha rasmi ya jamii ya Afrika Mashariki._90958604_eac_512x288_bbc
Kwa mujibu wa gazeti la The Citizen, limeripoti kuwa wajumbe wa bunge hilo wamekubaliana kwamba mabadiliko hayo yalikuwa yakisubiriwa sana kwa kuwa lugha hiyo imechukua jukumu kubwa la kuwaunganisha wakaazi wa Afrika Mashariki.
Hatua inayofuata ni kwamba mkataba wa EAC utalazimika kufanyiwa marekebisho .

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>