Headline za kuungua kwa majengo katika jiji la Arusha zimeendelea tena leo August 21 2016 ambapo katika kata ya Lemara mama mmoja anayejulikana kwa jina la Victoria Edward Wenga amechoma moto maduka yanayokadiriwa kuwa manne na nyumba yake ya kuishi.
↧