Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Malkia wa Taarab Bi Shakila afariki Dunia

$
0
0
Shakila Said Hamis… Jina lake lina uzito mkubwa sana kwenye muziki wa Taarab  anafahamika kama miongoni mwa wasanii waliotamba miaka kadhaa na hits single ikiwemo Kifo cha mahaba, Mapenzi yamepungua na nyinginezo.
Mnamo Auguast 19, 216 ripoti zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kwa baadhi ya mastaa wa filamu na Muziki nchini, kuhusiana na taarifa ya kufariki kwa nguli huyo wa muziki wa Taarab, kaa karibu millardayo.com & Ayo TV tunaendelea kufuatilia kuhusiana na taarifa hizo.
Unaweza ukabonyeza play kuona hii interview aliyowahi kuhojiwa kwenye kipindi cha Danga Chee


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>