Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani amelitaka gazeti la Mseto kumuomba radhi na kumlipa fidia ya shilingi bilioni moja kwa kosa la kuandika habari iliyomchafua.

Waziri Ngonyani amesema Agosti 4 mwaka huu gazeti hilo liliandika habari iliyomhusisha kupokea fedha kutoka moja ya Kampuni ya Madini wakati akiwa