Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

MSANII GABO ZIGAMBA APATA AJALI YA GARI IRINGA

$
0
0

Mwigizaji wa bongo movie Gabo Zigamba amepata ajali ya gari akielekea kutembelea kwenye hifadhi ya Ruaha ikiwa ni muda mfupi tu toka alipotembelea kituo cha Watoto yatima na kutoa misaada Iringa.

Gabo ameiambia millardayo.com kwamba hajaumia popote ila alikua na wenzake wawili kwenye gari ambao ndio wameumia kiasi ila hali zao zinaendelea vizuri.
Screen Shot 2016-08-03 at 11.09.44 AM
Screen Shot 2016-08-03 at 11.09.59 AM
Screen Shot 2016-08-03 at 11.24.33 AM
Screen Shot 2016-08-03 at 11.25.43 AM
ULIKOS

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>