Hatimaye ile kiu na hamu ya mashabiki wa Dayna Nyange imetatuliwa kwa wimbo huu mpya wa Komela. Dayna Nyange mkali wa Hit song kama Mafungu ya nyanya, fimbo ya mapenzi, Nivute kwako, I Do, Nitulize na Angejua, katika wimbo huu mpya alimtafuta mkali wa Chaf Poz Bill Nass na kazi ikakamailika katika mikono salama ya MR. T. Touch katika chumba cha Freenation Records.
↧