Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

VIDEO: Maelezo ya DK 4, ndugu aelezea dakika za mwisho kabla ya Kundambanda hajafariki

$
0
0


Leo July 22 2016 taarifa za kifo cha msanii wa filamu za Comedy Ismail Issa Makombe ambaye wengi tunamfahamu kwa jina la ‘Kundambanda’ zimeanza kuenea, taarifa rasmi kutoka kwa ndugu wa karibu wa marehemu zimesema kwamba amefariki alfajiri ya leo wakiwa katika harakati za kumpeleka hospitali baada ya kuwa anasumbuliwa na tatizo la pumu.
Imeelezwa kwamba tatizo hilo lilijitokeza juzi japo wamekuwa wakilifahamu kama familia siku hiyo marehemu aliomba kusindikizwa hospitali na baadae alirudi nyumbani huku akiendelea kutumia dawa mpaka leo alfajiri ndipo hali yake ilipoanza kubadilika na akawa amefariki wakiwa katika harakati za kumpeleka hospitali.



Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>