Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Picha: Professor Jay achanganya Hip Hop na Kisingeli, amshirikisha Sholo Mwamba

$
0
0
Msanii wa muziki wa Hip Hop na mbunge wa Mikumi, Professor Jay ameingia location wiki hii kushoot video ya wimbo wake mpya aliyomshirikisha msanii wa muziki wa kisingeli, ‘Sholo Mwamba’.Professor JayProfessor akishuka uwanja wa fisi kwa ajili ya kuanza kushoot video hiyo
Rapper huyo ambaye anakuwa msanii wa kwanza wa Hip Hop kuchanganya ladha ya muziki wa Hip Hip na Kisingeli amewataka mashabiki wake kukaa mkao wa kula kwa ajili ya ujio ya kazi hiyo.
Kupitia instagram, Professor Jay ameandika:
Kazi kazi video shooting. Kwa heshima kubwa sana tumeshoot video hii maeneo ya Manzese – Uwanja wa Fisi Tukiwapa tumaini jipya na nguvu wale wote waliokata tamaa na kuwaambia wakomae kwa kufanya kazi ipo siku mambo yatakuwa sawa. Kazi kazi . Professor Jay Featuring Sholo Mwamba.
Wimbo huo umeandaliwa na mtayarishaji Mesen Selekta na video imeongozwa na mtayarishaji wa video anayekuja kwa kasi, Travellah. Angalia picha za maandalizi ya video hiyo.13709882_991767704275850_4749905384628379751_n13709985_991768280942459_8028218776109747782_n
13718591_991767884275832_6013292265301977515_n
13729081_991768574275763_5339678413287727707_n
13729094_991768334275787_5504203818015636277_n
13754413_991768230942464_8863232886370455622_n
vv
vvd
13709882_991767704275850_4749905384628379751_n

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>