Mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi Masanja Mkandamizaji Jumapili hii amemvalisha pete mpenzi wake aitwae Monica akijiandaa safari ya kufunga pingu ya maisha.
Masanja akiwa na mchumba wake aitwae Monica
Muigizaji huyo ambaye pia ni mchungaji, Jumapili hii akiongezana na ndugu zake wa karibu pamoja na wasanii wenzake katika kanisa moja, aliweza kumvalisha pete mchumba wake huyo aitwae Monica.