Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

ACT- Wazalendo:"Lolote litalompata Zitto Polisi watajibu"

$
0
0
 

Baad ya kuzuiwa kufanyika kwa Kongamano lao walilopanga kulifanya leo katika ukumbi wa Millenium Tower Jijini Dar es Salaam, Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa hii kwa umma kuhusiana na kutoonekana kwa kiongozi wake mkuu bwana Zitto Kabwe

"Tunaujulisha UMMA kwamba Kiongozi wa Chama chetu cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe amekuwa anatafutwa na Polisi tangu jana usiku. Mpaka sasa hatujui Kiongozi wetu yupo wapi na yupo kwenye Hali gani. Askari kanzu wanalinda nyumbani kwake na kwa watu wake wa karibu. Sisi kama chama tunaliambia jeshi la Polisi kuwa lolote litakalotokea kwa Kiongozi wetu wao watajibu kwa umma".
Msafiri Mtemelwa,
Kaimu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>