$ 0 0 Maofisa wa Jeshi la Polisi Dar es Salaam kwa kushirikiana na TRA, wanayashikilia makontena 9 Mbezi Tanki Bovu baada ya kuyatilia shaka kuwa yalikuwa yanasafirishwa kinyememela usiku wa kumakia leo