CALL NOW +255 658 194 194 FOR MC DR CHENI I T & BUSINESS CONSULTANCY...
CALL NOW +255 658 194 194 FOR MC DR CHENI I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION PROPOSAL FOR DONORS...
View ArticleUpotevu wa Makontena 349 Bandarini: Watu 12 Watiwa Mbaroni na Jeshi la Polisi
Kufuatia agizo la Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa la kuwataka watuhumiwa wa wizi wa makontena 349 katika bandari ya Dar es salaam kuchukuliwa hatua na Jeshi la Polisi, tayari Jeshi hilo limewashikilia...
View ArticleRais Magufuli kaamua Bilioni zilizokua zitumike sherehe za uhuru 9 Dec...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameamuru fedha zilizopaswa kutumika kugharamia shamra shamra za siku ya Uhuru ambazo zingefanyika tarehe 09 Desemba 2015, kutumika...
View ArticleMaagizo ya Serikali Kwa Watumishi Wote wa Umma Kuhusu Kwenda Kazini Au...
SERIKALI imesema siku ya Desemba 9 iliyopangwa kuwa siku ya usafi wa mazingingira haitawafanya wafanyakazi wa utumishi wa umma kwenda kazini bali wataungana na wananchi kwenye maeneo wanayoishi kwa...
View ArticleRais Magufuli Awatakia Heri Watanzania Wote Katika Siku ya UKIMWI Duniani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewatakia heri watanzania wote katika siku ya UKIMWI duniani itakayofanyika kesho tarehe 01 Desemba, 2015Katika salamu hizo Rais...
View ArticleMC DR CHENI KAZINI UKUMBI MSIMBAZI CENTRE HAPA KAZI TU
Mahsein Awadh Said Maarufu kwa jina la Dr cheni katika tasnia ya filamu ambaye kwa sasa pia ni MC Mshereheshaji wa sherehe kama harusi na matukio mbalimbali ya kitaifa na kimataifa.Call now these...
View ArticleMagufuli Aitikisa Dunia Kwa Uchapakazi......Jina Lake Latawala Magazeti ya...
Kwa wiki ya pili sasa Rais Dkt Magufuli ameendelea kuwa gumzo barani Afrika na sasa hadi nchi za Ulaya zimedata naye. Gazeti kubwa la Marekani, The Guardian limeandika habari isemayo: What would...
View ArticleSakata la Makontena: Polisi Kwa Kushirikiana na TRA Wakamata Makontena 9
Maofisa wa Jeshi la Polisi Dar es Salaam kwa kushirikiana na TRA, wanayashikilia makontena 9 Mbezi Tanki Bovu baada ya kuyatilia shaka kuwa yalikuwa yanasafirishwa kinyememela usiku wa kumakia leo
View ArticleSad News: Basi la Takbir Lagongana na Lori Usiku wa Jana na Kuua Watu zaidi...
Basi la Taqbir namba T 230 BRJ likiwa eneo la tukio. Habari zilizotufikia hivi punde kutoka Tabora zinaarifu kua basi la Taqbir namba za usajili T 230 BRJ lililokua likitokea jijini Dar es Salaam...
View ArticleBalozi Sefue Awaagiza Watumishi Wa Umma Kuvaa Beji Zenye Majina Yao Wawapo...
Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Ombeni Sefue ameendelea kuwasisitiza watumishi wa Umma kuvaa beji zinazowatambulisha majina yao wanapokuwa katika maeneo ya kazi.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleJE UNATAKA KUANZISHA BIASHARA? TUNAWEZA KUKUSAIDIA KUANDIKA MCHANGANUO WA...
BUSINESS PLAN WRITE UP................150,000/= Call Now +255 658 194 194
View ArticleBreaking News: Waziri Mkuu Afanya Tena Ziara ya Kushtukiza Bandarini na...
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua bandari ya Dar es salaam Desemba 3, 2015 ambako alikwenda kupata ukweli kuhusu makontena 2,431 yaliyopitia kwenye bandari hiyo bila kulipiwa kodi ya serikali....
View ArticleRais Dkt. Magufuli Atoa Siku Saba kwa Wafanyabiashara Wakwepa Kodi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli amewapa siku saba kuanzia tarehe 03/12/2015 wafanyabiashara wote ambao waliingiza mizigo yao bila kulipa kodi wakalipe kwani baada ya...
View ArticleAfisa Ardhi Morogoro Kapewa Siku 14 Za Kujieleza Kwa Nini Asifukuzwe Kazi
Katibu mkuu ofisi ya Waziri mkuu (TAMISEMI) Jumanne Sagini ametoa siku 14 kwa afisa ardhi, mhandisi wa majengo na Afisa mipango miji manispaa ya Morogoro kuandika maelezo ya kwanini wasifukuzwe kazi...
View ArticleMagufuli: Sijachangiwa na Mfanyabiashara Yeyote Kuingia Ikulu.
Rais Dk. John Magufuli, amesema hakuna mfanyabiashara aliyemchangia kumuwezesha kuingia Ikulu katika kampeni za uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu, ili aweze kusimamia ipasavyo makusanyo ya kodi...
View Article