Kauli ya Januari Makamba kuhusu kumkejeli Rais Magufuli
January Makamba ameamua kutoa ufafanuzi wa picha mbalimbali zilizowekwa katika akaunti yake ya Instagram ambazo zinadaiwa kumkashfu Rais Magufuli baada ya kumnyima Uwaziri Mkuu.Hizi ndo Picha alizoweka...
View ArticleKasi ya Rais Magufuli Haiko Kwenye Makontena Bandarini tu, imepita na TFF...
Ikiwa bado siku moja Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli atimize mwezi mmoja toka aapishwe kuwa Rais wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, tumeshuhudia mengi...
View ArticleTreni ya Mizigo Yaanguka....Abiria 1000 Wakwama
ABIRIA zaidi ya 1000 waliyokuwa wakisafiri na treni ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), jana wamekwama mkoani Dodoma na kushindwa kuendelea na safari kutokana kuanguka treni ya mizigo kati ya Kituo cha...
View ArticleMC DR CHENI AKIWA KAZINI KATIKA KAZI YAKE YA USHEREHESHAJI WA SHEREHE
Mahsein Awadh Said Maarufu kwa jina la Dr cheni katika tasnia ya filamu ambaye kwa sasa pia ni MC Mshereheshaji wa sherehe kama harusi na matukio mbalimbali ya kitaifa na kimataifa.Call now these...
View ArticleGazeti la Mwanahalisi Latoa Majina Yaliyovuja Baraza la Mawaziri wa Magufuli
Wakati joto la kusubiri rais John Magufuli atangaze majina ya baraza lake la mawaziri likizidi kupanda, gazeti la Mwanahalisi limetoa baadhi ya majina yanayodaiwa kuvuja kutoka kwenye orodha hiyo.Mmoja...
View ArticleRungu la TRA Yalishukia BAKWATA...Magari 82 Yaingizwa Kwa Jina lao Bila...
Rungu la TRA Yalishukia BAKWATA...Magari 82 Yaingizwa Kwa Jina lao Bila Kulipiwa Kodi..Watwaga Barua Nzito, Isome HApa chini:
View ArticleWenyeviti wa CCM Mikoa Wampongeza Rais Magufuli Kwa Kasi Aliyoanza Nayo
WENYEVITI wa Mikoa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini, wamempongeza na kuunga mkono hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Rais John Magufuli za kutumbua majipu. Wamempongeza Dk Magufuli kwa hatua za...
View ArticleOfisa Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Atiwa Mbaroni Kwa Kuruhusu...
POLISI mkoani Rukwa inamshikilia Ofisa Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Michael Mwingira ili kusaidia uchunguzi wa magogo 665 na mbao za mti wa mkurungu vilivyokuwa vinasafirishwa kinyume...
View ArticleMagufuli Ateka Kampeni za Urais Uganda kwa Museveni......Wapinzani Watumia...
Kasi ya Rais John Magufuli katika kubana matumizi yasiyo ya lazima ya serikali ili fedha zinazookolewa zielekezwe katika kuimarisha huduma za jamii imeendelea kuvutia wengi katika nchi jirani za Afrika...
View ArticleHAYA NDIO MANENO YA SHUKRANI KUTOKA KWA OMARY CLAYTON BAADA YA USHINDI WAKE
Good News ikufikie popote pale ulipo, Dec 5, 2015 historia nyingine imeandikwa katika Afrika na dunia kwa ujumla baada ya Mtanzania mwenzetu Omary Clayton kuibuka na ushindi mnono katika shindano la...
View ArticleHIVI NDIVYO JOKATE ALIVYOWAPA BIG UP FANS WAKE KWA HILI
MWANAMITINDO na mbunifu wa mavazi ambaye pia ni Mc,mwamuziki,msanii wa filamu na mshindi namba mbili wa taji la Miss Tanzania mwaka 2006,Jokate Mwengelo amewashukuru mashabiki wake kwa kuendfelea...
View ArticleBreaking News: Rais Magufuli Avunja Bodi ya Bandari.....Amsimamisha Kazi...
Rais wa Tanzania wa awamu ya Tano Dkt.John Pombe Magufuli katika kasi yake ya kutumbua majipu hatimaye,amevunja bodi yote ya Bandari na kutengua uteuzi wa Mkurugenzi mkuu wa bandari Bw.Awadhi Massawe...
View ArticleSalam za Rais Magufuli kwa Wananchi katika Kuadhimisha Miaka 54 ya Uhuru
Namshukuru Mwenyezi Mungu aliyeiwezesha nchi yetu kutimiza miaka 54 ya uhuru kwa salama na amani. Namshukuru Mungu pia kwa kuniwezesha kuiona siku hii nikiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania....
View ArticleRais Magufuli Awaongoza Watanzania Kufanya Usafi
Rais John Magufuli ameongoza kwa vitendo zoezi la kufanya usafi leo kama alivyoelekeza baada ya kufuta shamrashamra za maadhimisho ya siku ya Uhuru, Disemba 9.Rais Magufuli na mkewe Janeth wamefanya...
View ArticleMagazeti ya Tanzania leo December 9 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo...
.........................
View Article