MWANAMITINDO na mbunifu wa mavazi ambaye pia ni Mc,mwamuziki,msanii wa filamu na mshindi namba mbili wa taji la Miss Tanzania mwaka 2006,Jokate Mwengelo amewashukuru mashabiki wake kwa kuendfelea kuunga mkono kazi zake mbaimbali azifanyazo,huku akiwapa heko pia mashabiki wake katika mtandao wa kijamii wa instagram kwa kumfanya kuwa na wafuasi wengi zaidi