Sherehe za Uhuru: Rais Magufuli Asamehe Wafungwa 2,336
Katika kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru wa Nchi yetu tarehe 9 Desemba, 2015 Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutumia madaraka aliyopewa chini ya ya Ibara ya 45(1)(d) ya Katiba ya Jamhuri...
View ArticleBreaking News: Rais Magufuli Atangaza Baraza Lake la Mawaziri
Ndugu waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla, ninawasalimu sana. Nawakaribisha katika kikao hiki cha kutangaza baraza la mawaziri.Tutakuwa na mawaziri 19, kuna baadhi ya wizara zitakuwa na...
View ArticleRais John Magufuli Atoa Mkwara Mpya...Akataa Sherehe ya Kuwapongeza Mawaziri...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dr John Pombe Magufuli ametangaza Baraza la Mawaziri ambalo litafanya kazi katika serikali hii ya awamu ya tano kwa kipindi cha miaka 5.Akizungumza na...
View ArticleRais Magufuli Amwaga Mabilioni Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu..Shirikisho la...
Shilingi billion 473 zimetengwa kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu nchini kwa mwaka huu ikilinganishwa na Shilingi bilioni 341 zilizotolewa mwaka jana ikiwa ni ongezeko la Tsh....
View ArticleMUGABE AWAPA MAKAVU WANAOTAKA KUMRITHI URAIS
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amewataka wanasiasa BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleHARUSI YA EMMANUEL NA REGINA ILIKUA YA KIPEKEE KATIKA UKUMBI WA CARDINAL...
Maharusi Emmanuel na Regina wakiwa katika nyuso za tabasamuukumbi wa Cardinal Rugambwa Dar es Salaam 13/12/2015Mc wa harusi Mahsein Awadh maarufu kwa jina la Dr cheni "Mc Dr Cheni" akisisitiza jamboMc...
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR MC DR CHENI I T & BUSINESS CONSULTANCY...
CALL NOW +255 658 194 194 FOR MC DR CHENI I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION PROPOSAL FOR DONORS...
View ArticleNape Aonya Vyombo vya Habari Kutumia Miziki ya Wasanii bila Idhini ya COSOTA
Serikali imetoa tamko kwa vyombo vyote vya habari nchini kuanzia january mosi mwakani kutotumia miziki ya aina yeyote ,wa ndani au nje bila kibali kutoka Cosota.Wakitoa tamko hilo kwa pamoja waziri wa...
View ArticleWanafunzi 503,914 Wachaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza
Jumla ya wanafunzi 503,914 kati ya 518,034 waliofaulu mtihani wa kumaliza elimu ya msingi kwa kupata alama A, B na C, wamechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika shule za sekondari za Serikali...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU, DAR...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi tarehe 18, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe...
View ArticleDkt. Kingwangalla atumbua MAJIPU ya watumishi wachelewaji wa Wizara ya Afya
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla amefanya ukaguzi wa kushtukiza katika ofisi za wizara hiyo kwa kusimama getini kuzuia wafanya kazi wote wa...
View ArticleMC DR CHENI NIKIWA KAZINI KATIKA KAZI YANGU YA USHEREHESHAJI WA SHEREHE MBALI...
Mc Dr Cheni on the stage For Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleBasi la New Force Lapata Ajali na Kuua Watu 12 Iringa
Watu 12 wamefariki dunia papo hapo baada ya lori la mbao lililokuwa likitokea njombe kwenda jijini Dar es Salaam kupasuka tairi na kugongana na basi la abiria la new force lililokuwa linatokea jijini...
View ArticleMajipu ya Tanesco Yaendelea Kutumbuliwa...Wengine 10 Wasimamishwa Kazi Kwa...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme (Tanesco), Felchesmi Mramba, amewasimamisha kazi maofisa 10 wakiwamo wahasibu waandamizi na mafundi kwa kusababisha upotevu wa mapato zaidi ya Sh.milioni...
View Article