Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Browsing all 2428 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ni Miaka mitatu tangu Sharo Milionea afariki dunia kwa ajali ya gari

November 26 2015 ni siku ya kumbukumbu ya Sharo Milionea ambae ametimiza miaka mitatu toka afariki dunia kwenye ajali ya gari aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T478  BVR alilokua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mchakato wa Kuanzisha Mahakama ya MAFISADI Waanza

Utekelezaji wa ahadi za Rais John Magufuli unazidi kushika kasi baada ya kuanza kwa mchakato wa kuanzisha mahakama maalumu ya kuwashughulikia mafisadi.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mshahara wa Mbunge ni Milioni 3.8 Kwa Mwezi, Posho ya Ubunge ni..

Kwa mujibu wa Mh Zitto Kabwe:"Mshahara wa mbunge ni milioni 3.8 kwa mwezi, Posho ya Ubunge ni milioni 8 kwa mwezi, Posho yakujikimu kwa siku ni laki 120,000 kwa siku, kukaa kikao cha bungeni posho ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ndugai: Hatuwezi Kumlipa Mtu Ambaye si Mtumishi wa Bunge...

Spika wa Bunge, Mh.Job Ndugai amesema kuwa, Bunge haliwezi kumlipa mtu ambaye sio Mtumishi wa Bunge kutokana na kanuni za Kihasibu.Amesema hayo wakati alipotafutwa na Gazeti la Nipashe waliotaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMA UNAHITAJI MC WA SHEREHE MC DR CHENI NI CHAGUO SAHIHI KWA SHEREHE YAKO

Matukio Mbalimbali ya sherehe ambazo Dr cheni alikua MCMc Dr Cheni akiwa kazi "Hapa Kazi Tu"Mahsein Awadh Said Maarufu kwa jina la Dr cheni katika tasnia ya filamu ambaye kwa sasa pia ni MC...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Breaking news: Hatimaye Chadema washinda kesi ya Mawazo...

Taarifa kutoka Mahakama kuu kanda ya Mwanza zinaarifu kuwa Familia ya Alphonce Mawazo na Chadema wameshinda kesi dhidi ya Jeshi la Polisi ya kuzuia mwenyekiti huyo  wa Chadema Geita asiagwe  jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wizara Zinazotarajia Kufutwa na Magufuli Hadharani.......

Wakati kukiwa na taarifa kwamba Rais Dk. John Magufuli, anatarajia kupunguza karibu nusu ya wizara zilizokuwapo kwenye Serikali ya Awamu ya Nne, imefahamika kuwa wizara zinazolengwa ni zile zilizopo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI APIGA MARUFUKU UTENGENEZAJI WA KADI ZA X MASS NA MWAKA MPYA

BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABADILIKO YA RAIS MAGUFULI HAYA HAPA ONA TOFAUTI YA HOSPITALI YA MUHIMBILI...

Rais Magufuli Wiki Tatu zilizopita alipokwenda kutembelea Hospitali ya Muhimbili alikuta wagonjwa wapo chini kwenye sakafu.Wagonjwa wakiwa wamelala sakafuni kabla ya Rais Magufuli kutembelea Hospitali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA TANZANIA LEO IJUMAA TAREHE 27.11. 2015

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Afika ofisini kwa Waziri Mkuu, Majaliwa ......Wateta Kwa Zaidi...

Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa wakati alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam jana Novemba 26, 2015 na kuzungumza nae kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli "Amaliza Kazi".......Baraza La Mawaziri Kutangazwa Muda Wowote...

RAIS John Magufuli ambaye tangu Novemba 17, mwaka huu alikuwa katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma kwa majukumu mbalimbali, amerejea Dar es Salaam jana na wakati wowote inaelezwa kwamba anaweza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASIMAMISHA KAZI VIGOGO 5 BANDARINI,NI KUFUATIA UPOTEVU...

  WAZIRI MKUU Majaliwa Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi maafisa watano na watumishi watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutokana na upotevu wa makontena 349 yenye thamani ya zaidi ya sh....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZ:MAGUFULI AMSIMAMISHA KAZI KAMISHNA MKUU WA TRA RISHED BADE

Aliyekuwa Kamishna wa TRA Rished Bade Rais John Pombe Magufuli amemsimamisha kazi kamishna wa mamlaka ya mapato TRA Bw.Rished Bade na kumteua Bw.Philiph Mpango kukaimu nafasi hiyo.Taarifa kutoka ikulu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO TANZANIA JUMAMOSI 28,NOVEMBA 2015

 .  .........................

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMATATU NOVEMBA 30,2015

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa Sahihi Kuhusu Habari ya Kukamatwa Mabunda ya Hela Kwa Afisa wa TRA...

Habari zilizosambaa mitandaoni kuhusiana na mabunda ya noti za dola ya Kimarekani kuwa zimekutwa nyumbani kwa mmoja wa watuhumiwa wa mtandao wa wizi bandarini na TRA sio za kweli,  Ukweli ni kwamba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa Kutoka Azam Kampuni ya Bakhresa Kuhusu Kuhusishwa Kwnye Makontena 349...

Kumekuwa na taarifa zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii kuwa kampuni ya Bakhresa inahusika na upotevu wa Makontena 349 yaliyoripotiwa hivi karibuni kuwa yametolewa bandarini bila kulipiwa ushuru....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu: Tumedhamiria Kuwatumikia Watanzania...Tutahakikisha Mapato Ya...

WAZIRI MKUU Majaliwa Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano imedhamiria kuhakikisha kila kinachokusanywa kama mapato ya nchi kinatumika kwa maslahi ya Watanzania wote na si kwa manufaa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMA UNAHITAJI MC WA SHEREHE MC DR CHENI NI CHAGUO SAHIHI KWA SHEREHE YAKO

Matukio Mbalimbali ya sherehe ambazo Dr cheni alikua MCMc Dr Cheni akiwa kazi "Hapa Kazi Tu"Mahsein Awadh Said Maarufu kwa jina la Dr cheni katika tasnia ya filamu ambaye kwa sasa pia ni MC...

View Article
Browsing all 2428 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>