Agizo la Rais Magufuli kuhusu kununuliwa vitanda hospitali ya Muhimbili...
Agizo alilolitoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli la kutaka fedha zilizochangwa na wadau mbalimbali kwa ajili ya kugharamia hafla ya wabunge zipelekwe Katika hospitali...
View ArticleUtata Watawala Kifo cha Ghafla Cha Msemaji Wa Madereva, Rashid Saleh
Utata Watawala Kifo cha Ghafla Cha Msemaji Wa Madereva, Rashid SalehAliyekuwa Katibu na Msemaji wa Chama cha Madereva, Rashid Saleh amefariki dunia ghafla huku chanzo cha kifo chake kikizua utata...
View ArticleHuo ndio Ujio mpya wa Irene Uwoya Kwenye Movie
Irene Uwoya amerudi rasmi katika filamu baada ya kumaliza pilika pilika za uchaguzi ambapo ametangaza deal kwa vijana wapya katika filamu.Kupitia ukurasa wa Instagram, Irene ameandika:Habari zenu...
View ArticleMC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI WA KIPEKEE ATAIFANYA SHEREHE YAKO IWE YA KIPEKEE
Mahsein Awadh Said Maarufu kwa jina la Dr cheni katika tasnia ya filamu ambaye kwa sasa pia ni MC Mshereheshaji wa sherehe kama harusi na matukio mbalimbali ya kitaifa na kimataifa.Call now these...
View ArticleTaarifa Rasmi ya IKULU Juu ya Kufutwa Kwa Sherehe za Uhuru Disemba 9 Mwaka Huu
Kwa mujibu wa Sheria ya Sikukuu za Kitaifa (The Public Holidays Act, Cap 35) pamoja na Sheria zingine zinazompa mamlaka Rais kutangaza siku yoyote kuwa sikukuu au mapumziko, Rais wa Jamhuri ya...
View ArticleBaraza la Mawaziri la Raisi Magufuli.Wabunge Matumbo Joto
WAKATI Rais John Pombe Magufuli akitegemewa kutangaza Baraza la Mawaziri wakati wowote kuanzia sasa, matumbo ya wabunge yamepata moto wakijiuliza kama watawezana na kasi yake endapo watateuliwa...
View Article'Ukimrekodi Mtu Anayejichukulia Sheria Mkononi Utapewa Zawadi Nono na Jeshi...
JESHI la Polisi nchini limekemea tabia inayoendelea kujengeka miongoni mwa baadhi ya wananchi ya kutoheshimu sheria na kujichukulia sheria mikononi kwa kuwapiga, kuwadhalilisha watuhumiwa, kuwachoma na...
View ArticleMajibu ya Ikulu kuhusu CT Scan na MRI, Wizi wa dawa za Serikali, Huduma Mbaya...
Katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue jana alifanya ziara katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikiwa ni muendelezo baada ya Rais Dk. MAGUFULI kufanya ziara ya kushtukiza.Baada ya kutembelea maeneo...
View ArticleWaziri Mkuu Aanza kwa Kutaka Mpango-kazi Kutoka Kila Idara
WAZIRI MKUU Majaliwa Kassim Majaliwa amewataka wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu watambue jukumu walilonalo la kuwahudumia wananchi kutokana na majukumu ya ofisi hiyo ambayo yanagusa maisha ya kila...
View ArticleMagazeti Ya Leo Tanzania Jumatano Ya Tarehe 25 Novemba 2015
ALSO VISIT HABARIKA BLOG LEWIS MBONDE MEDIA
View ArticleKAMA UNAHITAJI MC WA SHEREHE MC DR CHENI NI CHAGUO SAHIHI KWA SHEREHE YAKO
Matukio Mbalimbali ya sherehe ambazo Dr cheni alikua MC Mc Dr Cheni akiwa kazi "Hapa Kazi Tu"Mahsein Awadh Said Maarufu kwa jina la Dr cheni katika tasnia ya filamu ambaye kwa sasa pia ni MC...
View ArticleKasi ya Magufuli Yamzindua Usingizini Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.....Nae...
Uhuru KenyattaRais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri na kuwapiga chini mawaziri wote ambao wizara zao zinakumbwa na kashfa za ufisadi.Uamuzi wa Rais Kenyatta...
View ArticleSemina Na Makongamano Yote Ya Serikali Kufanyika Online Kwa...
SERIKALI kupitia Menejimenti ya Utumishi wa Umma Ofisi ya Rais imesema haitagharamia gharama zozote za kuendesha vikao kazi na watendaji wake kuanzia sasa, badala yake vikao hivyo vitaendeshwa kwa...
View ArticleMkuu wa Wilaya ya Kinondoni Awasweka Rumande Maofisa Ardhi 10 Kwa Masaa 6
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda leo amewaweka ndani kwa saa sita maofisa ardhi zaidi ya 10 huko Kawe baada ya kuchelewa kufika eneo walilokubaliana kukutana.Makonda jana alikuwa amewataka...
View ArticleLinex aliigonga gari ya Mkuu wa Wilaya Paul Makonda usiku, Kilichotokea?....
Msanii wa muziki wa Bongo Flava Sunday ‘Linex’ Mjeda, ameamua kuelezea mkasa uliomkuta baada ya ‘kuikwangua’ gari ya mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda wiki tatu zilizopita.Kupitia ukurasa wake...
View ArticleRais Magufuli Afuta sherehe za Maadhimisho ya siku ya UKIMWI Kitaifa>>Aagiza...
Rais John Magufuli amesitisha maadhimisho ya siku ya Ukimwi kitaifa ambayo yalikuwa yafunguliwe mkoani Singida jana na kufikia kilele chake Desemba mosi mwaka huu mjini humo.Badala yake Rais Dk...
View Article