Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Wema Sepetu aitimua team Wema, ‘mnaniharibia maisha yangu’

$
0
0
Malkia wa filamu Wema Sepetu ameitimua team Wema katika mitandao ya kijamii kwa madai wao ndio chanzo cha matatizo mengi katika maisha yake.WEMA2
Mwigizaji huyo amedai amekuwa hana amani kwa ajili ya team Wema.
“Sasa mimi naomba kusema kitu kimoja, naomba kuanzia sasa hivi sitaki kuijua team Wema, kwa sababu sielewagi team Wema ilitokea wapi, mimi sijui na sio chanzo cha team Wema na sijui mmetokea wapi mmekuja kuniharibia maisha yangu,” alisema Wema.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>