RAIS JONH MAGUFULI AMEFANYA UTEUZI MWINGINE LEO
Leo September 19 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi mbalimbali kama ifuatavyo;Kwanza, Rais Magufuli amemteua Prof. Jacob Philip...
View ArticleNDEGE MPYA YA TANZANIA KUTUA KESHO DAR
Ndege ya kwanza kati ya mbili zilizonunuliwa na Serikali za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), inatarajiwa kuingia nchini kesho ikitokea Canada.Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jijini Dar...
View ArticleChidi Benz Akanusha Kurudia Kutumia Unga...Awatupia Lawama Wabaya wake
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Chidi Benz amekanusha taarifa ambazo zimezagaa katika mitandao ya kijamii kuwa amerudia katika matumizi ya Madawa ya kulevya.Rapper huyo amedai taarifa hizo zinasambazwa na...
View ArticleTanzania yaongoza duniani kwa utoaji wa huduma za kifedha kwa kutumia simu
Tanzania imetajwa kuwa nchi ya kwanza duniani kufanikiwa katika utoaji wa huduma za kifedha kwa kutumia mitandao ya simu.Hayo yameelezwa jana jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya...
View ArticleSAIDA KAROLI ATOA PONGEZI KWA DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA KUITOA "SALOME"
Baada ya hapo jana Msanii wa Bongo fleva na Hit maker wa wimbo wa Kidogo aliowashirikisha Mapacha kutoka Nigeria Peter na Paul Okoye Diamond Platnumz safari hii afanya kweli tena katika harakati za...
View ArticleNDEGE MBILI ALIZOAGIZA RAIS MAGUFULI MOJA IMEKUJA LEO
Ndege ya kwanza kati ya mbili zilizoagizwa na serikali, aina ya Bombadier Q400 kutoka nchini Canada tayari imewasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere uliopo jijini Dar es...
View ArticleDiamond kumjaza mapesa Saida Karoli, hiki ndicho atamlipa
Diamond amedai kuwa Saida Karoli atapata asilimia 25 ya mapato ya wimbo wa Salome.Diamond amerudia baadhi ya vitu kwenye wimbo wake mpya ‘Salome’ aliomshirikisha Raymond kutoka kwenye wimbo wa ‘Maria...
View ArticleWema Sepetu aitimua team Wema, ‘mnaniharibia maisha yangu’
Malkia wa filamu Wema Sepetu ameitimua team Wema katika mitandao ya kijamii kwa madai wao ndio chanzo cha matatizo mengi katika maisha yake.Mwigizaji huyo amedai amekuwa hana amani kwa ajili ya team...
View ArticleTazama Picha 11 za Ndege mpya iliyonunuliwa na Serikali ilivyowasili leo...
Ndege mpya ya kwanza iliyonunuliwa na Serikali kwa ajili ya kutumiwa na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) imetua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam ikitokea...
View ArticleBatuli Aitetea Bongo Movie...Adai Haijafa Kama Wanavyodai Watu
KUNA wakati ambapo kila mtu huwa na lake la kusema katika kuongelea jambo linalogusa maslahi yake kama mwanadada msanii mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ anayepingana na...
View ArticleVilio Vyatawala JNIA Baada ya Madereva 10 Waliokuwa Wametekwa DRC Kuwasili...
Vilio vya furaha kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki, vimetawala katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam jana, baada ya kuwasili kwa madereva 10 wa Tanzania...
View ArticleRais Magufuli aipongeza Kilimanjaro Queens kwa Ubingwa wa CECAFA Chalenji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amewapongeza wachezaji wa Timu ya soka ya Wanawake ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Queens) kwa kuandika historia ya kuwa Mabingwa wa...
View ArticleAY Atoboa Haya Usiyoyajua Kuhusu P-Funk
Ambwene Yessaya aka AY amefunguka kwa kumtaja mtayarishaji wa muziki mkongwe hapa Bongo, P-Funk Majani ndiye alimpatia majina yake mawili ya utani.AY akiwa na P-FunkRapper huyo ameyataja majina...
View ArticleBrad Pitt matatani kwa kudaiwa kuwanyanyasa wanae
Baada ya mke wake Angelina Jolie kuomba talaka, Brad Pitt anachunguzwa na polisi wa Los Angeles pamoja na idara ya watoto na huduma za familia kwa kudaiwa kuwanyanyasa watoto wake, kwa kuwakalipia na...
View ArticleTazama Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na UDOM mwaka wa masomo...
Kupata majina ya wanafunzi walichaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu cha Dodoma ngazi ya Stashada, katika mwaka wa masomo 2016/2017, <<Bonyeza hapa>>
View ArticleList Ya Vyuo Vilivyotoa Selection Ya Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Vyuo...
Kuona Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Chuo Kikuu 2016/2017,Kwa Chuo Kikuu Cha Udom <<bonyeza Hapa>>Kwa Chuo Kikuu Cha Ifm <<bonyeza Hapa>>Kwa Chuo Kikuu Marian <<...
View ArticleHii hapa Orodha ya Wasanii Watakaowania Tuzo za MTV MAMA 2016, Navykenzo,...
Orodha ya wasanii watakaowania tuzo za MTV MAMA 2016, Jumamosi ya Oktoba 22 kwenye ukumbi wa Ticketpro Dome, Afrika Kusini imetoka – kuna vipengele tisa. Tanzania inawakilishwa na Alikiba, Diamond na...
View ArticleUvutaji wa Bangi na Michepuko Wasababisha Ndoa na Brad Pitt na Angelina Jolie...
Moja ya couple maarufu na iliyokuwa inapendwa duniani yavunjika rasmiMachungu ya talaka Angelina jolie na Brad pitt. Baada ya angelina jolie kusign karatasi za talaka siku ya jana.. Brad pitt afura na...
View ArticleMhadhiri chuo kikuu mbaroni kwa kumkashfu Rais Magufuli
Idadi ya watu wanaokamatwa kwa tuhuma za kumkashfu Rais John Magufuli kupitia mitandao ya kijamii imezidi kuongezeka baada ya polisi kumkamata Mhadhiri wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa...
View Article