Wasanii na viongozi wa WCB waalikwa nyumbani kwa rais mtaafu Jakaya Kikwete
Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete Jumatano hii aliwaalika wasanii wa label ya WCB pamoja na viongozi nyumbani kwake na kula nao chakula cha mchana.JK ambaye ni mmoja kati ya marais ambaye...
View ArticleUtafiti wa Twaweza: Watazania 96% wanampongeza Rais Magufuli
Taasisi inayojishughulisha na kufanya tafiti mbalimbali nchini ya TWAWEZA. Leo imetoa ripoti inayoonyesha kuwa asilimia 96 ya Watanzania wapongeza utendaji wa Rais Magufuli, huku asilimia 68 wapongeza...
View ArticleMATUKIO YA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
Spika wa Bunge la Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiingia katika ukumbi wa Bunge kuongoza kikao cha saba cha bunge la kumi na moja leo mjini Dodoma. Spika wa Bunge la Jmahuri ya...
View ArticlePicha 15: Mastaa walivyokaribishwa bungeni Dodoma leo kabla ya kuidondosha...
September 16 2016 historia nyingine itaandikwa ndani ya viwanja vya makao makuu ya nchi Dodoma ambapo burudani ya FIESTA 2016 inatarajia kudondoshwa hapo kutoka kwa wasanii mbalimbali wa bongo.Asubuhi...
View ArticleUTAFITI: WANAWAKE WANNE KATI YA 10 WANAOFANYA BIASHARA YA NGONO WANA UKIMWI
Utafiti uliofanywa na Shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na upimaji wa virusi vya Ukimwi la MATUMAINI, unaonyesha kuwa kati ya wanawake kumi wanaofanya biashara ya ngono wanaopima wanne kati...
View ArticleAliyekuwa boyfriend wa mtoto wa Whitney Houston ahusishwa rasmi na kifo cha...
Nick Gordon, ameonekana kuhusika kwenye kifo cha aliyekuwa mpenzi wake, Bobbi Kristina Brown – binti wa marehemu, Whitney Houston, imeripotiwa.Bobbi – mtoto pekee kwa Whitney Houston na Bobby Brown –...
View Article‘Say My Name’ ya Shilole yaongoza chati za Soundcity
Shilole ameitimiza ndoto waliyonayo wasanii wengi wa Bongo Flava. Wimbo wake ‘Say My Name’ aliomshirikisha Barnaba, umekamata nafasi ya kwanza kwenye chati za muziki wa Afrika Mashariki kwenye kituo...
View ArticleRay C aanza kurekodi wimbo wake mpya ‘Panya Road’
Baada ya kuonekana kuanza kuwa na afya njema baada ya kupambana kutoka kwenye matumizi ya madawa ya kulevya, Ray C ameonekana kuanza kuingia studio kurekodi wimbo wake mpya.Kupitia mtandao wake wa...
View ArticleNaongoza kwa kutukanwa kwenye muziki, lakini najivunia kuupeleka muziki...
Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Vipindi Clouds Media Group, Ruge Mutahaba amesema yeye ni mtu ambaye anaongoza kwa kutukanwa katika tasnia ya muziki kutokana na harakati zake za kuupigania muziki.Akiongea...
View ArticleWananchi Waliopo Dar es Saalam Kupatiwa Matibabu Bure
Ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar es Saalam iliyo chini ya mheshimiwa Paul Makonda imeratibu tukio maalum litakalofanyika siku ya tarehe 24-25/09/2015 kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja. Ambapo wananchi...
View ArticleHongereni Sanaaa Mr and mrs Daniel
Maharusi wetu mlinogaaa sanaaa Mc kazini nikiwajibikaaWageni waalikwa walinogaaWageni waalikwa walinogaa Wageni waalikwa walinogaaaa
View ArticleMashabiki wajipanga kumsaidia rapper Nelly kulipa deni la $2.4m za kodi
Rapper Nelly yupo kwenye wakati mgumu kutokana na deni alilonalo la $2,412,283 kutokana na malimbikizo ya kodi. Pia rapper huyo anadaiwa na idara ya mapato ya Missouri $149,511 za kodi kuanzia mwaka...
View ArticleRais Mstaafu Jakaya Kikwete avutiwa na wimbo ‘Matatizo’ wa Harmonize
Wimbo ‘Matatizo’ wa msanii wa muziki Harmonize, ni moja kati ya nyimbo ambazo zinapendwa na Rais Mtaafu, Jakaya Mrisho Kikwete.Wiki moja iliyopita Mh.Rais Mstaafu Jakaya Kikwete aliwaalika viongozi wa...
View ArticleSheria zote Nchini kuwa kwa Kiswahili
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Profesa Sifuni Mchome amesema kuanzia sasa sheria zote zitakazotungwa nchini zitakuwa katika lugha ya Kiswahili ili kuwawezesha wananchi wengi ambao ndio...
View ArticleRAIS Magufuli: Tetemeko Halijaletwa na Serikali, Watu Wafanye Kazi
Mkuu Anasema waathirika wasikae tu huko wanangoja hela za serikali kwa sbb wanasikia zimechangwa,waanze kujisaidia kwanza wao na serikali itawasaidia pale waliposhindwa.Mkuu anasema mtu ukuta...
View ArticlePICHA ZA ZIARA YA WASANII KWENYE KABURI LA ALBERT MANGWEA
Ikiwa ni Muendelezo wa Tamasha la Fiesta linalo wakutanisha wasanii wakali nchini Tanzania na kuzunguka Mikoa mbalimbali hapa nchini, leo ni zamu ya Morogoro ambapo wasanii na uongozi wa Clouds Media...
View ArticleTAZAMA PICHA ZA FIESTA JANA MOROGORO
Chege Chigunda Performing Dar mpaka Moro Music on the stage of Tigo Fiesta MoroChristian Bella doing his things on Fiesta MorogoroMuch Energy to Vanessa aka Vee Juma Jux and vee money performing...
View ArticleJB Kuja na Surprise ya Kalambati Lobo Septemba
MWIGIZAJI mkongwe katika tasnia ya filamu Swahilihood Jacob Stephen ‘JB’ anatarajia kuja na Surprise kubwa pale atakapoachia filamu kubwa na y a kipekee ya Kalambati Lobo, akiongea na FC mwigizaji na...
View ArticleHongereni sana Ben na jack Usiku wenu ulikuwa wa kipekee
Hongereni sana maharusi mr andmrs ben mlinogaaa sanaa MC nikiwajibikaaa Wageni waalikwa walinogaaa
View Article