Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

‘Say My Name’ ya Shilole yaongoza chati za Soundcity

$
0
0
Shilole ameitimiza ndoto waliyonayo wasanii wengi wa Bongo Flava. Wimbo wake ‘Say My Name’ aliomshirikisha Barnaba, umekamata nafasi ya kwanza kwenye chati za muziki wa Afrika Mashariki kwenye kituo cha Soundcity.
14359535_319499878397559_205625894_n
“Mungu akiwa upande wangu hakuna cha kunikatisha tamaa,” ameandika kwenye Instagram kufurahia hatua hiyo. “Asante sana @soundcityafrica asanteni mashabiki kwa kuniamini, Say my name juu kbs namba moja.”
14279167_1226421170730648_329357035_n

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>