Kikwete Atunukiwa Tuzo Ya Uongozi Wa Kisiasa Na Utetezi
Na Mwandishi Maalum, New YorkShirika lisilo la Kiserikali la Speak Up for Afrika limemtunukia tuzo, Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kutokana na uongozi wake wa kisiasa na utetezi wake kwa...
View ArticleBodi kutotoa mikopo kwa wadahili wapya baada ya TCU kushusha viwango
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), imesema haiwezi kutoa mikopo kwa waombaji wapya walioomba baada ya Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) kushusha viwango vya udahili.Wiki iliyopita, TCU...
View ArticlePolisi wataovaa nusu uchi au mlegezo kwa askari wa kiume kuchuliwa hatua kali
Naibu Mkuu wa Jeshi la polisi nchini Abrahman Kaniki amewaagiza makamanda na maofisa waandamizi wa jeshi wa mikoa yote kuhakikisha wanasimamia nidhamu ya uvaaji kwa askari wa kike na kiume na...
View ArticleDIAMOND AZIDI KUTUSUA TAZAMA REKODI YAKE HII
Rekodi za mastaa wa muziki kutoka Afrika zinazidi kuwekwa na kuvunjwa kila siku kutokana na kazi nzuri wanazozitoa. Mtu wangu leo nimeipata rekodi hii aliyoivunja msanii Diamond Platinumz kutoka...
View ArticlePicha Za Birthday Ya Zari Zanzibar
Was amazing Day in Zanzibar as the Day when was happening Birthday Party of Diamond Platnumz's baby Mama, Zari 'The Bosslady'. Here are more Pics taken during the Celebration;
View ArticleWizara ya Nishati na Madini Yakanusha Profesa Muhongo Kuchangisha Shilingi...
Gazeti la Mwananchi la tarehe 23 Septemba, 2016 katika ukurasa wake wa Tano imeandikwa habari yenye kichwa cha habari “Harambee ya Profesa Muhongo yakusanya Sh 40,000 Bukoba”. Mwandishi wa Habari hiyo...
View ArticleSerikali Kufanya Zoezi La Utambuzi Na Usajili Kwa Watumishi Wake Kuanzia...
Na Frank Shija, MAELEZOSERIKALI inatarajia kufanya zoezi la utambuzi na usajili wa taarifa za watumishi wa umma kuanzia tarehe 3 Oktoba ili kutoa vitambulisho vya Taifa vilivyo na taarifa zote muhimu...
View ArticlePastor Myamba: Waigizaji ndio wanaua soko la filamu
Muigizaji mahiri wa filamu Bongo, Emmanuel Myamba maarufu kwa jina la Pastor Myamba ameitaja sababu ya kushuka kwa soko la filamu nchini kuwa ni kutokana na wasanii wenyewe.Muigizaji huyo amekiambia...
View ArticleJuma Nature aumizwa na tukio la KR Mullah
Msanii Juma Nature ameelezea kusikitishwa kwake na tukio lilitokea kwa msanii mwenzake KR Mullah ambaye alikuwa naye kwenye kundi moja la Wanaume Halisi, na kisha kwenda Radar Entertainment.Akizungumza...
View ArticleAma Kweli Nabii Hakubaliki Kwao..Tazama Rayvan na Harmonize Walivyopokelewa...
Aisee ama kweli nabii hakubaliki kwao,daah waliotunga huu msemo walikuwa ma generous sana kwa kweliLicha Rayvan na Raj boy Harmonize kuonekana sio lulu kwa kiasi hicho hapa nchini lakini Burundi...
View ArticleRais Magufuli Ashiriki Ibada Ya Jumapili Kuadhimisha Siku Ya Bwana Ya 19...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo asubuhi tarehe 25 Septemba, 2016 ameungana na Waumini wa Kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano lililopo Posta Jijini Dar es...
View ArticleWakazi wa Dar Wajitokeza kwa Wingi kwenye wito wa kupima afya bure
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto) akizungumza na wananchi walio fika katika viwanja vya Mnazi Mmoja kupata vipimo na kupatiwa ushauri na Madaktari kutoka Hospitali Mbalimbali Jijini...
View ArticleWasanii wa bongofleva waibuka washindi katika mechi ya kuchangia waathirika...
Wasanii wa muziki wa bongofleva wameibuka washindi kwa penati tano kwa nne dhidi ya wasanii wa bongomovie katika mechi ya hisani kwa ajili ya kuwachangia waathirika wa tetemeko la ardhi Bukoba.Wasanii...
View ArticleMugabe adai Afrika itajiondoa kwenye Umoja wa Mataifa iwapo matakwa yake...
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe amedaiwa kusema kuwa bara la Afrika lipo tayari kujiondoa kwenye Umoja wa Mataifa, kama matakwa yake ya kufanyika mabadiliko hayatofikiwa.Kwa mujibu wa ripoti za...
View ArticlePICHA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI MH NCHEMBA ALIVYOWAPATIA USHINDI WABUNGE WA YANGA
Septemba 25 2016 ilikuwa ni siku ambayo wabunge wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walicheza mchezo wa hisani kwa ajili ya kukusanya fedha za watu waliopata na tetemeko la maafa Bukoba, wabunge...
View ArticleBaada ya kuzushiwa kifo, Bilionea Dangote ameyaandika haya
Bilionea namba moja barani Afrika, Aliko Dangote amekanusha uvumi unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa amefariki dunia akiwa nchini Ujerumani.Taarifa hizo zinaeleza kuwa bilionea huyo amefariki...
View ArticleMajina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Chuo Kikuu Tumaini Makumira...
List Of Students Admitted By Tcu To Join Tuma For Academic Year 2016/2017 (1st Selection)Kupata Majina << BOFYA HAPA>>
View ArticleMeneja wa Diamond Athibitisha Kuwa ni Kweli Diamond Kanunua Nyumba Afrika...
Kuna nyumba ilikuwa sokoni inayofanana na ile Diamond amedai kuinunua South, zinafanana tu ama ni ile ile? Hilo ni swali ambalo hadi sasa wengi wamekuwa wakijiuliza, lakini sasa Bongo5 ina jibu la...
View ArticleMajina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Kikuu cha Dar es salaam...
The following applicants have been selected to join various undergraduate degree programmes for the 2016/2017 academic year. The selected applicants should report at the Mwl. J.K. Nyerere Mlimani...
View Article