Ndege Ya Pili Ya Bombardier Q-400 Yawasili Jijini Dar Es Salaam Leo, Rais...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kesho anatarajiwa kuzindua ndege mbili mpya aina ya Bombardier Q 400 zilizonunuliwa na Serikali hivi karibuni.BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleList Ya Vyuo Vilivyotoa Selection Ya Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Vyuo...
Kuona Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Chuo Kikuu 2016/2017, ==>Chuo Kikuu Cha Mwalimu Nyerere <<bonyeza Hapa>> ==>Chuo Kikuu Cha Udsm,duce Na Muce <<bonyeza...
View ArticleNikiwa na mwanangu mwenyewee Denis na mkewe
Nikiwa na mwanangu mwenyewee Denis na mkewe Mwanangu umevunja Hatari Denis Mugisha
View ArticleRais Magufuli Apokea Msaada Wa Tsh.milioni 545 Kutoka Serikali Ya India Kwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 27 Septemba, 2016 amepokea msaada wa Shilingi Milioni 545 kutoka kwa Waziri Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi kwa ajili ya...
View ArticleTaarifa Rasmi ya Baraza Kuu la Uongozi la CUF lililokutana Zanzibar jana...
MAAZIMIO NA MAAMUZI YA BARAZA KUU LA UONGOZI LA TAIFA LILILOKUTANA KWENYE MAKAO MAKUU YA CHAMA, MJINI ZANZIBARTAREHE 27 SEPTEMBA, 2016Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la The Civic United Front (CUF –...
View ArticleMajina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Chuo Kikuu Iringa(University Of...
Bachelor of Arts in...
View ArticleMajina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Chuo Kikuu Bugando(Cuhas) 2016/2017
Bachelor of Pharmacy (BPHARM) List of Names Joining InstructionsRegistration Form - 1st YearRegistration Form - ContinuingMedical FormBachelor of Science in Nursing (BSN) List of Names Joining...
View ArticleBen Pol: Msanii kujisimamia mwenyewe inaua ubunifu
Ben Pol anaamini kuwa pindi msanii anapojisimamia mwenyewe, anapoteza ubunifu muhimu anaouhitaji ili kufanikiwa. Anadai kuwa ni muhimu kwa msanii kuwa na management au watu wa kumsaidia.
View ArticleRAIS MAGUFULI AWATUMBUA KATIBU TAWALA WA MKOA WA KAGERA NA DED MAKONDA KWA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 27 Septemba, 2016 amepokea msaada wa Shilingi Milioni 545 kutoka kwa Waziri Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi kwa ajili ya...
View ArticleMajina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Chuo Kikuu Ruaha University- RUCU...
Selected Candidates to join various Degree Programmes at RUCU 1. Bachelor of Arts with Education 2. Bachelor of Accounting and Finance with Information Technology 3. Bachelor of Laws 4. Bachelor of...
View ArticleMPIGIE KURA HAPA ALIKIBA MTV EMA 2016, KAMA BEST AFRICAN ACT
Tujikumbushe..Mwaka jana Diamond alishinda kipengele hiki na akashindana kipengele kimoja cha ‘Best Worldwide Act: Africa/India’ na mshindi wa Best Indian Act ambaye mwaka jana alikuwa ni muigizaji na...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AZINDUA RASMI NDEGE MBILI MPYA ZILIZONUNULIWA NA SERIKALI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na maafisa na viongozi wengine mbalimbali akikata utepe kuzindua rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na...
View ArticleWema Sepetu awashukuru waliomtumia salamu za birthday
Jumatano hii ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya staa wa filamu Wema Sepetu ambao ndugu, jamaa pamoja na marafiki walimtakia heri na mafanikio mrembo huyo.Moja kati ya vitu ambavyo vilileta gumzo kwenye...
View ArticleInspekta aeleza kinachowakwamisha wasanii wakongwe kufanya vizuri kwenye game...
Msanii mkongwe wa muziki aliyewahi kuwa member wa Kundi la Gangwe Mob, Inspekta Haroun amefunguka na kueleza sababu mbalimbali zinazowafanya wasanii wakongwe kushindwa kufanya vizuri kama...
View ArticleTaarifa za uzushi kuhusu kifo cha muigizaji Muhogo Mchungu.
Kumeibuka taarifa zisizo sahihi ambazo zimekuwa zikisambaa katika mitandao ya kijamii haswa Whatsapp na Instagram kuhusiana na muigizaji mkongwe wa filamu Tanzania, Muhogo Mchungu kufariki dunia....
View ArticleMakonda Awaponda Wanaobeza Jitihada za Rais Magufuli, ‘Hawajui Wanalolitaka’
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemmwagia sifa Rais John Magufuli kwa utendaji wake na kusema yeye ni mtu wa kutenda na sio maneno huku akiwapa vidonge vya wale wanaobeza jitihada...
View ArticleDiva:Mastaa wa Bongo Waelewe Thamani yao, Mimi Nachaji Milioni 3.5 Kwa...
Mtangazaji wa Clouds FM, Diva The Bawse amewataka mastaa wa Tanzania kutambua thamani ya brand zao na kuacha kujichukulia poa.Amedai kuwa mastaa wengi wamekuwa wakitumika bure kufaidisha watu wengine...
View ArticleUtafiti Twaweza: Nchi haiongozwi kidikteta
Leo September 29, 2016 Taasisi ya Twaweza wamefanya uzinduzi wa ripoti ya utafiti mpya jijini Dar es salaam. Utafiti huo unaeleza kuwa Watanzania wengi hawaoni kama nchi inaendeshwa kidikteta baada ya...
View ArticleJamani sijafa hata mafua siumwi – Muhogo Mchungu
Muigizaji mkongwe kwenye tasnia ya filamu nchini Abdallah Makumbila alimaarufu kama Muhogo Mchungu amekanusha taarifa zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa amefariki na kusema kuwa yeye saizi...
View Article