$ 0 0 Ben Pol anaamini kuwa pindi msanii anapojisimamia mwenyewe, anapoteza ubunifu muhimu anaouhitaji ili kufanikiwa. Anadai kuwa ni muhimu kwa msanii kuwa na management au watu wa kumsaidia.