Serikali ya Rais Magufuli imepanga kununua treni ya umeme Mwakani
Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli imepanga kununua treni ya umeme inayotarajiwa kuwasilini nchini mwezi Juni, 2017.Treni hiyo inatarajiwa kufanya safari katika jiji la Dar es...
View ArticleSteve Nyerere Atoboa Siri ya Bongo Fleva Kuwafunga Bongo Movie
Jumapili hii timu ya mpira wa miguu ya wasanii wa Bongo Fleva ilitoana jasho na timu ya wasanii wa Bongo movie, lengo ikiwa ni kukusanya pesa za kuchangia waathirika wa maafa ya tetemeko la ardhi...
View ArticleWaziri Mkuu Kuhamia Dodoma Leo
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, anatarajia kuhamia rasmi Dodoma leo.Majaliwa anahamia mjini hapa ikiwa ni sehemu ya kutekeleza ahadi ya Serikali ya awamu ya tano ya kuhamia Dodoma ambako ndiko yaliko...
View ArticleWEMA SEPETU ATOA SABABU KUTOFANYA BIRTHDAY PARTY MWAKA HUU
Jana September 28 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya Tz Sweetheart Wema Sepetu, kama ilivyozoeleka katika siku ya kuzaliwa ya mwanadada huyo huwa party ya kujipongeza inahusika lakini mwaka huu imekuwa...
View ArticleWastara apata shavu la ubalozi wa kampuni mpya ya simu, atavuna Tsh milioni...
Malkia wa filamu Wastara Juma amepata shavu la kuwa balozi wa kampuni ya simu za mkononi ya KZG Tanzania yenye makao makuu yake nchini China.Wastara akionyesha mkatabaKatika mkataba huo mwigizaji huyo...
View ArticleDully Sykes: ‘Inde’ haijanipa mafanikio yoyote kwa sasa
Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Dully Sykes amesema kuwa hakuna mafanikio aliyoyapata kwa sasa kupitia wimbo wake mpya wa ‘Inde’.Muimbaji huyo ni mmoja kati wa wasanii wa muda mrefu kwenye...
View ArticleGabo Zigamba:Matapeli Wanatumia Jina langu
Wezi wa mtandaoni wameonekana kutembea karibu na msanii nguli wa Bongo movies, Gabo Zigamba ikiwa ni siku chache tangu walipoidukua akaunti yake ya facebook.Msanii huyo ametoa tahadhari kuhusu utapeli...
View ArticleDude: Tasnia ya Filamu Bongo ni Kama Choo cha Jiji
Msanii wa filamu nchini, Kulwa Kikumba aka Dude, amesema tasnia ya filamu Tanzania imekuwa kama choo cha jiji ambapo kila mwenye hela na anayetaka kuwa maarufu, hukimbilia huko.Kulwa Kikumba aka...
View ArticleVIKOSI VYA YANGA VS SIMBA VITAKAVYOMENYANA LEO TAIFA
Kikosi cha Yanga SC leo dhidi ya Simba SC1. Ali Mustafa2. Juma Abdul3. Haji Mwinyi4. Kelvin Yondani5. Vicent Bossou6. Mbuyu Twite7. Juma Mahadhi8. Thabani Kamusoko9. Amisi Tambwe10. Donald Ngoma11....
View ArticleBodi Ya Mikopo Ya Elimu Ya Juu Yatangaza Majina Ya Wanafunzi Waliokosea...
During the exercise of processing 2016/2017 loan application forms, the Board has come across loan applications which are missing some vital information such as applicant’s and guarantor’s signatures....
View ArticleWaziri Mkuu Atimiza Ahadi Ya Kuhamia Dodoma
Waziri MKUU Kassim Majaliwa amesema kuanzia sasa mtu yeyote mwenye shida ya kuonana naye itabidi amfuate Dodoma na kwamba atarudi Dar es Salaam pindi akiitwa na Mheshimiwa Rais au Makamu wa Rais.Ametoa...
View ArticleWaziri Mkuu aeleza mikakata ya serikali kuipanga Dodoma isiwe kama Dar es...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeunda timu ya wataalamu ambao watatoa ushauri juu ya suala zima la kuhamishia makao makuu Dodoma. Ametoa kauli hiyo jana mchana (Jumamosi, Oktoba 1,...
View ArticleTID, Nature, Inspekta Haroun, Adili kusikika kwenye soundtrack ya ‘Karibu...
‘Karibu Kiumeni’ haitarajiwi tu kuja kuwa filamu ya Bongo yenye mafanikio zaidi kuwahi kutokea, bali pia itakuwa filamu ya kwanza iliyokutanisha mastaa wengi zaidi wa Bongo Flava kurekodi original...
View ArticleSimba na Yanga zapigwa marufuku na serikali kuutumia uwanja wa Taifa
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye ametembelea Uwanja taifa Jumapili hii na kuzipiga marufuku mechi zote za Yanga na Simba kufanyikia uwanjani hapo kutokana na uharibifu wa...
View ArticleRaymond, Vanessa Mdee na Yamoto Band waongezeka kwenye nomination za MTV...
Raymond, Vanessa Mdee na Yamoto Band wameongezeka kwenye nomination za tuzo za MTV MAMA 2016. Diamond na Alikiba ambao walikuwa wametajwa awali, wameongezeka tena kipengele kimoja kimoja.Raymond...
View Article