DIAMOND PLATINUMZ ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA WATOTO YATIMA
Mwanamuziki Diamondplatnumz Asherehekea Siku yake ya Kuzaliwa Kwa Kula Chakula Cha Mchana na Watoto Yatima,Mwanamuziki Diamondplatnumz asherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kula chakula cha mchana na...
View ArticleSHARUKANI WA VINGUNGUTI AINGIA LOCATION KUSHOOT FILAMU YAKE MPYA
Sharukani wa Vingunguti Msanii wa Bongo movie Sharukani wa Vingunguti ameuambia mtandao huu leo mchana kupitia simu kuwa ameingia location kushoot movie yake mpya hakuitaja kwa jina kama unavyoona ktk...
View ArticleChristian Bella aeleza furaha yake baada ya muziki wake kuchezwa kwenye...
Mwanamuziki Christian Bella amesema kuwa kitendo cha nyimbo zake kuchezwa kwenye runinga kubwa za Kongo kitawaziba midomo baadhi ya wasanii wa muziki wa dansi ambao walikuwa wanadai muziki wake anacopy...
View ArticleWatu kibao walikuwa wakiiulizia nyumba niliyoinunua SA ‘kinafiki’ hadi ajenti...
Diamond amedai kuwa idadi kubwa ya watu, hususan kutoka Tanzania ilikuwa ikipiga simu kwa wakala aliyekuwa akihusika na mauzo ya nyumba aliyonunua Afrika Kusini kutaka kujua kama ameinunua kweli nyumba...
View ArticleWasanii wa filamu watakiwa kutunga filamu zenye maadili ya kitanzania
Waziri wa habari, sanaa, utamaduni, michezo,Nape Nnauye amewataka wasanii wa filamu nchini Tanzania kutunga filamu zenye kufunza maadili ya kitanzania ambayo yatasaidia kuielimisha jamii.Wasanii hao...
View ArticleWANAKIJIJI WALIOWAUA WATAFITI DODOMA WAKIMBIA KIJIJI, WALALA PORINI HOFU YA...
Baada ya baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Iringa Mvumi katika Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma kuwaua watafiti wa Kituo cha Udongo na Maendeleo cha Selian Arusha, wakazi wa kijiji hicho wamehama makazi...
View ArticleAliyetoa taarifa za maiti kufufuka ikiwa mochwari Singida ashikiliwa na Polisi
Jeshi la polisi mkoa wa Singida, linamshikilia askari mgambo mwajiriwa hospitali ya mkoa, MG 7822 Emmanuel Daghau (42) kwa tuhuma ya kutoa taarifa za uongo juu ya maiti kufufuka ikiwa kwenye chumba cha...
View ArticleMAMBO 20 USIYOYAJUA KUHUSU SIMBA SPORTS CLUB
*MAMBO 20 USIYOYAJUA KUHUSU SIMBA SPORTS CLUB* ------------------------- 1. Simba ndiyo timu ya kwanza nchini kupanda ndege na hii ilikuwa mwaka 1963 tena wakati huo taifa la Tanzania halikuwa...
View ArticleUPDATED!: List Ya Vyuo Vilivyotoa Selection Ya Majina Ya Wanafunzi...
Kuona Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Chuo Kikuu 2016/2017, ==>Chuo Kikuu Arusha <<bonyeza Hapa>>==>Chuo Cha Mipango Dodoma <<bonyeza Hapa>>==> Sokoine...
View ArticleWAZIRI MKUU: MAUAJI YA WATAFITI DODOMA HAYAKUBALIKI
Majeneza ya watalii haoWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amelaani kitendo cha wanakijiji kuwaua watumishi wa Serikali waliokuwa wakifanya utafiti wilayani Chamwino mkoani Dodoma. Waziri Mkuu ametoa kauli...
View ArticleNilitumiwa, ukiona ninapoishi utasikitika – Saida Karoli
Saida Karoli anaogopa kugusa hata jani, akidhani ni nyoka anayetaka kumng’ata. Ni kwasababu licha ya kufanya vizuri kimuziki miaka kadhaa iliyopita,BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleChristian Bella afanya show Ikulu katika dhifa iliyoandaliwa na Rais Magufuli...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Jumanne hii alimwandalia dhifa ya Taifa, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais...
View ArticleTFF imetangaza maamuzi haya kuhusu refa wa Yanga vs Simba
Shirikisho la soka Tanzania TFF leo October 5 2016 kupitia kwa afisa habari wake Alfred Lucas imetangaza maamuzi yaliofikiwa na kamati kuhusiana na mchezo wa Simba naYanga uliochezwa October 1 2016 na...
View ArticleWashindi wa Tuzo za BET Hip-Hop Awards 2016 iko hapa
Mtu wangu wa nguvu nakuletea list ya washindi wa tuzo za BET Hip-Hop Awards zilizotolewa kwenye ukumbi wa Cobb Energy Performing Arts Centrejijini Atlanta Marekani; na kuoneshwa usiku wa kuamkia leo...
View ArticleRais Magufuli afanya tena ziara ya kushtukiza Airport Dar es salaam
Leo October 5 2016 Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Joseph Kabila Kabange amemaliza ziara yake ya kiserikali ya siku tatu hapa nchini na kurejea nchini kwake. Katika uwanja wa ndege wa...
View ArticleAnayetuhumiwa kutoboa macho Buguruni DSM apandishwa Kizimbani
Mkazi wa buguruni kwa mnyamani anayetuhumiwa kuwachoma watu visu na kisha kuwatoboa macho, Salum Henjewele maarufu kama Scorpion amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya ya Ilala na kusomewa...
View ArticleDEAL DONE:Yanga Yakodishwa kwa Manji Miaka 10
Klabu ya Dar es Salaam Young Africans kupitia kwa bodi ya wadhamini wa klabu hiyo, leo October 6 2016 imetoa taarifa rasmi ya kuamua kuikodisha klabu hiyo kwa kampuni ya YANGA YETU LIMITED, bodi ya...
View Article