$ 0 0 Mwanamuziki Diamondplatnumz Asherehekea Siku yake ya Kuzaliwa Kwa Kula Chakula Cha Mchana na Watoto Yatima,Mwanamuziki Diamondplatnumz asherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kula chakula cha mchana na watoto yatima, na kuwasaida vitu mbalimbali.