Wimbo ya Salome Waongoza Kwa Kununuliwa Huko Kenya Kati ya Nyimbo 100
Wimbo wa salome ulioimbwa kwa kukutanisha mafundi wawili kutokea lebo ya WCB Diamond Platnumz AKA Simba Jini na Rayvanny umekimbiza ile mbaya huku nchini Kenya kwa kushika namba moja kati ya nyimbo 100...
View ArticleMimi sio msanii wa bongofleva wala sio msanii wa muziki wa bendi – Christian...
Mwanamuziki Christian Bella amedai utakuwa unamkosea ukimwita yeye ni msanii wa muziki wa bendi au msanii wa muziki wa bongofleva kwa kuwa anafanya muziki wa aina nyingi.Mkali huyo wa masauti ambaye...
View ArticleWaziri Mwigulu Nchemba Aliagiza Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya kuwakamata...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba ameagiza Jeshi la Polisi mkoani Mbeya kuwakamata walimu walioonekana kwenye video wakimwadhibu mwanafunzi vibaya. Tukio hilo lilitokea 28....
View ArticleWAZIRI WA ELIMU NDALICHAKO AWATUMBUA WALIMU WALIOREKODIWA WAKIMFANYIA UKATILI...
Hatimaye Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Ndalichako amewafukuza chuo walimu waliohusika na kumpiga mwanafunzi wa kidato cha tatu wa shule ya kutwa Mbeya. Kwa Mujibu wa TBC- Habari za...
View ArticleUpdates !! HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WOTE WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA VYUO...
Vyuo Vikuu mbalimbali vimeanza kutoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kwenye vyuo vikuu mwaka wa masomo 2016/2017.Ili kuwarahisishia wasomaji wetu,tumeamua kukusanya vyuo vyote vilivyotoa...
View ArticleKumbe Mtoboa Macho aliwahi kushinda milioni 20 za Dume Challenge, mshiriki...
Wiki hii, habari kubwa nchini ilikuwa ni tukio la mfanyabiashara, Said Ally kutobolewa macho, usiku katika maeneo ya Buguruni Sheli jijini Dar es Salaam.Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda...
View ArticleRais Magufuli Amfagilia Bakheresa....Amzawadia Eneo la Ardhi la Hekari...
RAIS Dk. John Magufuli, amemwagiza Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Charles Mwijage kumrudishia mfanyabiashara maarufu nchini, Said Salim Bakhresa sukari yake iliyozuiwa bandarini kwa sababu...
View ArticleMajina Ya Wanafunzi Waliopata Mkopo Mwaka Wa Masomo 2016/2017----(Awamu ya...
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu wametangaza majina ya wanafunzi waliopata mkopo 2016/2017 awamu ya kwanza.Hapa ni link ya kuangalia kama umepata au laah unaandika namba ya form 4 na code walizokupa...
View ArticleTCRA Yapiga Marufuku Uuzwaji wa Samsung Galaxy note 7 Hapa Nchini
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepiga marufuku uingizaji na usambazaji wa simu za mkononi za Smartphone Samsung Galaxy note 7 kwa kuwa zina matatizo ya betri.TCRA pia imewataka wananchi ambao...
View ArticleAlichosema Rais Magufuli kuhusu mikopo ya wanafunzi wa Vyuo Vikuu\
Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli amesema Serikali imetenga Shilingi Bilioni 483 kwa mwaka huu kwa ajili ya mikopo ya elimu ya juu ambapo wanafunzi zaidi ya 118,000 watanufaika.BONYEZA LEWIS MBONDE...
View ArticleRais Magufuli Aweka Jiwe La Msingi Mradi Wa Hosteli Za Wanafunzi Katika Chuo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 21 Oktoba, 2016 ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa mabweni 20 ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...
View ArticleRais Magufuli aagiza HESLB kuongeza kasi ya ukusanyaji wa madeni.
Na Beatrice Lyimo-MAELEZORais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Magufuli ameagiza Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu kutumia Sheria zilizopo kuongeza kasi ya ukusanyaji wa...
View ArticleSerikali Yakubali Kurejesha Posho ya Sh. 8500 kwa Siku kwa Wanafunzi wa Vyuo...
Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetuliza hasira za wanafunzi wa vyuo vikuu kwa kurejesha posho ya chakula na malazi ya Sh8,500 kwa kila mmoja na kwamba tofauti baina yao itakuwa...
View ArticleVita ya Kukabili Njaa Yatangazwa......Mikoa Yote Yatakiwa Kuimarisha Mifumo...
Mwezi mmoja tangu Serikali iseme usalama wa chakula ni kwa asilimia 123, jana Ofisi ya Waziri Mkuu imezitaka wizara, mikoa na halmashauri kuchukua hatua za kukabiliana na tishio la njaa ikiwamo kuzuia...
View ArticleINSTAGRAM: Ujumbe wa Diamond Platnumz kama ulipanga kukosa MTV MAMA 2016
Najua watu wangu wa nguvu wanahamu ya kuona tuzo za MTV Mama 2016 zinazoandaliwa na kituo cha TV cha MTV Base Africa, lakini pia inawezekana kuna baadhi ya watu ambao wamebanwa na kazi na hawatapata...
View ArticleRose Ndauka: Filamu Bongo hazijashuka
Msanii wa Filamu Bongo, Rose Ndauka amedai kuwa ni upepo mchafu umepitia soko la filamu nchini na si kama ni kweli filamu zimeshuka thamani kama watu wanavyodai. Muigizaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa...
View ArticleSingeli Imenipa Nyumba na Gari – Man Fongo
Msanii wa muziki wa Singeli nchini Man Fongo amefunguka na kusema anashangaa mafanikio makubwa ambayo ameyapata ndani ya muda mfupi kupitia muziki wa Singeli hususani kupitia kazi yake ya ‘Hainaga...
View ArticleHawa Ndio Wasanii 3 Ambao Lulu Anawakubali Kwenye Bongo Fleva
Msanii mahiri wa filamu Bongo, Elizabeth Michael aka Lulu amewataja wasanii watatu anaowakubali kwenye muziki wa Bongo Fleva.Muigizaji huyo alikuwa akijibu swali la mmoja wa mashabiki wake kwenye...
View Article