Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Browsing all 2428 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Juma Nature:Kuna Watu Wanahonga Ili Ngoma Zangu Zisipigwe

Ukizungungumzia historia ya muziki wa Bongo Flava, haiwezi kukamilika bila kulitaja jina la mkongwe Juma Kassim Nature aliyewahi kutamba ngoma kama ‘Jinsi Kijana’, ‘Hili Game’ na zingine kibao.Hatimaye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rammy Galis:Nilikaribishwa Freemason Nikakataa

Star wa Bongo Movie Rammy Galis amefunguka na kukiri kuwa kuna watu hususani wasanii wanaojihusisha na kundi la Freemason na kwamba yeye mwenyewe aliwahi kualikwa kwa njia ya simu yake ya mkononi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa Muhimu: Serikali Yatangaza UHAKIKI wa Wanafunzi Wote Walioko Vyuo...

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inawatangazia Viongozi wa vyuo vyote vinavyotoa shahada nchini vya umma na vya binafsi kuwa kutakuwa na uhakiki wa ubora wa vyuo hivyo. Uhakiki huo utaanza siku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hongera Sana Martha mungu aendelee kukuongozi Kwa kila hatua

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baba aua mwanawe kisa kufungua redio kwa Sauti Kubwa

BABA mmoja mkazi wa Kijiji cha Maji ya Moto, Wilaya ya Arumeru mkoani hapa, Wilfred Kivuyo amemuua mtoto wake baada ya kumchoma kisu tumboni, kwa kosa la kufungulia redio kwa sauti ya juu.Kabla ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Ateuliwa kuwania tuzo ya Forbes kwa watu maarufu barani Afrika

Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameingia katika listi ya watu ambao wametajwa kuwania tuzo ya Person Of The Year 2016 ambayo hutolewa na Jarida la Forbes Africa.Rais Magufuli ameingia katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzia: Muigizaji Haji Jumbe ( Mr. Benson) wa Tamthilia ya Siri za Familia...

Muigizaji Haji Jumbe, ambaye amekuwa akiigiza kama Mr. Benson katika tamthilia ya Siri za Familia inayorushwa na EATV amefariki Jumatatu jioni katika Hospitali ya Kinondoni kwa Dr. Mvungi. Siku chache...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Haya Hapa Matokeo ya Mtihani Darasa la 7......Bofya hapa Kuyaona

Serikali  imetangaza  matokeo  ya  mtihani  wa  darasa  la  7 kwa mwaka 2016  ambapo ufaulu  umeongezeka  kwa asilimia 2.52 na shule iliyoongoza kitaifa ni shule ya Msingi Kwema  ya  mkoani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ujumbe wa Rais Magufuli kwa Watanzani katika siku yake ya kuzaliwa

Leo Oktoba 29 ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli ambapo alizaliwa Oktoba 29, 1959.Rais Magufuli alizaliwa mkoani Geita na kitaaluma yeye ni mwalimu aliyebobea katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIANA EDWARD LUKUMAI KUTOKA KINONDONI AIBUKA MSHINDI MISS TANZANIA 2016

Leo kwa mara nyingine tena Tanzania imeingia kwenye Headline ya kumpata Miss Tanzania 2016 baada ya miaka miwili kupita bila kufanyika shindano la Miss Tanzania, Shindano la Miss Tanzania limefanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO TANZANIA JUMAPILI TAREHE 30.10.2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sharukani wa Vingunguti Ajitapa kuwa yeye ni Bora kuliko Sharukhan wa Bombay

  Msanii wa bongo movie Affan Jamal maarufu kwa jina la SHARUKANI WA VINGUNGUTI anayetamba na filamu yake mpya inayoitwa NDANDA USWAZI inayofanya vizuri sokoni kwa sasa. Ameuambia mtandao huu LEWIS...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAKA AMPASUA KICHWA KWA PANGA MDOGO WAKE WAKIGOMBANIA FEDHA

MKAZI wa kijiji cha Ntalamila kata ya Miyula wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Baraka Kaengele (23) ameuawa kikatili na kaka yake wa tumbo moja, Edward Kaengele (25) kwa kumshambulia na kumpasua kichwa kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bondia Thomas Mashali Auwawa, Mwili Wake Waokotwa Vichakani Dar

Bondia maarufu wa ngumi za kulipwa nchini, Thomas Mashali amefariki dunia usiku wa kuamkia leo October 31 2016 maeneo ya Kimara DSM, Taarifa zinadai kuwa alishambuliwa na wananchi baada ya madai ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huu ni ujumbe wa Francis Cheka baada ya taarifa za kifo cha Thomas Mashali

Wiki hii imeanza kwa huzuni kwa mashabiki wa mchezo wa ngumi nchini baada ya kifo cha bondia Thomas Mashali hasa baada ya kusikia taarifa za chanzo cha kifo hicho. Mmoja wa watu walioumizwa na taarifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Nape atoa pole kwa familia ya Thomas Mashali, Mashali kuzikwa kesho...

Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Mhe. Nape Nnauye wametoa pole kwa fimilia ya bondia Thomas Mashali aliyeuawa kwa kupigwa baada ya kupigiwa kelele za mwizi kufuatia ugomvi uliozuka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MC Koba na Mwana FA walaani nyimbo za Nigeria kutawala shindano la Miss Tanzania

Mapya yanazidi kuibuka kwa kulitoa kasoro shindano la Miss Tanzania 2016 lililofanyika Jumamosi iliyopita jijini Mwanza. Wadau wa muziki wamekasirishwa kwa kitendo cha kuchezwa nyimbo nyingi za wasanii...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mr Blue asema hahitaji meneja kwenye muziki wake

Msanii wa muziki wa kurap, Mr Blue amesema hahitaji kuwa na meneja wa kumsaidia katika kazi zake za muziki kwa kuwa tayari alishawahi kuwa na mameneja zaidi ya watatu ambao hawakumpatia mafanikio.Rapa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkenya aibuka mshindi wa Maisha Plus

Olivie Kiarie wa Kenya ameibuka mshindi wa shindano la Maisha Plus. Fainali za shindano hilo zilifanyika mwishoni mwa wiki.Ushindi huo umempa Olive kitita cha shilingi milioni 30 za Kitanzania.Shindano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Awasili Nchini Kenya, Ahimiza Ushirikiano zaidi kati ya Kenya...

Rais wa Tanzania John Magufuli ameanza ziara yake ya kikazi katika nchi jirani ya Kenya leo ambapo kando na kufanya mazungumzo na Rais Kenyatta atazindua pia barabara.Kwenye ziara hiyo ya siku mbili,...

View Article
Browsing all 2428 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>