Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Tanzia: Muigizaji Haji Jumbe ( Mr. Benson) wa Tamthilia ya Siri za Familia afariki

$
0
0
Muigizaji Haji Jumbe, ambaye amekuwa akiigiza kama Mr. Benson katika tamthilia ya Siri za Familia inayorushwa na EATV amefariki Jumatatu jioni katika Hospitali ya Kinondoni kwa Dr. Mvungi. Siku chache zilizopita alikuwa anasumbuliwa na tumbo.
bensoni2
Marehemu Haji Jumbe kwa jina la usanii Mr. Benson akiwa na familia yake mke wake Linda na Mtoto wake Alex katika igizo la Tamthilia ya SIRI ZA FAMILIA
Mazishi yanatarajia kufanyika Jumanne saa 9 Alasiri, huko Bagamoyo, Pwani.
bensoniMarehemu Haji Jumbe kwa jina la usanii Mr. Benson

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Trending Articles