Christian Bella: Sina shobo na collabo za kimataifa
King of Best Melodies CHRISTIAN BELLA amefunguka kuwa hana shobo na collabo za kimataifa.“Kuna idea ambazo nazifanyia process, lakini bado zijaanza process yoyote kuhusu collabo ya kimataifa. Na mimi...
View ArticleHamisa Mobetto: Team zimechangia tukose tuzo ya MTV MAMA
Hamisa Mobetto amefunguka sababu ya wasanii wa Bongo Fleva kutofanya vizuri kwenye tuzo za MTV MAMA zilizofanyika Jumamosi ya Oktoba 22 mjini Johannesburg, Afrika Kusini.Akiongea na mtangazaji wa...
View ArticleRafiki wa Mashali aeleza alichozungumza na Mashali wakati yupo hospitali
Rafiki wa karibu wa marehemu Thomas Mashali aliyejitambulisha kwa jina la Ally amesimulia mkasa mzima wa kifo cha rafiki yake huyo.Ally alisimulia mkasa wa rafiki yake huyo akiwa msibani maeneo ya...
View ArticleRais Magufuli ampongeza Rais Kenyatta kwa ujenzi wa barabara ya kisasa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Uhuru Kenyatta wamezindua barabara ya Southern Bypass huku Rais Magufuli akisema wananchi wanahitaji...
View ArticleRais Magufuli Arejea Nyumbani Baada Ya Ziara Ya Kiserikali Ya Siku Mbili...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitelemka kwenye ndege baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nairobi,...
View ArticleBONDIA THOMAS MASHALI KUAGAWA LEO LEADERS,KUZIKWA KINONDONI
MWILI wa bondia wa ndondi za kulipwa nchini, Thomas Mashali aliyeuawa Kimara jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia Jumatatu, utazikwa leo kwenye makaburi ya Kinondoni. Baba mzazi wa marehemu,...
View ArticleBi Hindu: Wasanii wa filamu hatupendani
Msanii mkongwe wa filamu nchini Bi Hindu amefunguka kwa kusema kuwa wasanii wa tasnia hiyo nchini hawapendani.Muigizaji huyo ambaye pia ni mtangazaji wa kipindi cha Uhondo cha EFM, amekiambia kipindi...
View ArticleDr Cheni Aachana na Bongo Movie Kwasasa, Hii Ndiyo Sababu
Staa mkongwe wa Bongo Movie, Dr Cheni amefunga kuwa kwasasa hata cheza tena filamu hadi pale serikali itakapo hakikisha kuwa filamu zao zinalindwa dhidi ya wizi wa kazi zao.Akiongea na Enews ya EATV,...
View ArticleRose Ndauka adai kuvunjika kwa ndoa ni tatizo la kijamii na sio la wasanii wa...
Malkia wa filamu Rose Ndauka amewataka watanzania kujua kuvunjika kwa ndoa sio tatizo la wasanii wa filamu pekee bali ni tatizo la jamii nzima.Mwigizaji huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja aitwae,...
View ArticleTazama Video kujua Kuhusu Msichana Aliyebakwa Hadi Kufa – Makumira University
Mapema jana zimesambaa Picha kwenye Mitandao ya kijamii ikimuonyesha Msichana anayefahamika kwa jina la JULIANA ISAWAFO Ambaye Amebakwa hadi Kufa na Kutupwa Nje ya eneo la Chuo Kikuu cha Tumaini...
View ArticleKesi ya kwanza yaanza Kusikilizwa Mahakama ya Mafisadi Dar
Hatimaye Mahakama Kuu Kitengo cha Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi maarufu kama Mahakama ya Ufisadi imeanza rasmi usikilizaji wa kesi jana.Kesi ya kwanza kutua na kusikilizwa na Mahakama hiyo ambayo...
View ArticleLIVE: Tazama mkutano wa Rais Magufuli na waandishi wa habari Ikulu, Dar
Rais John Magufuli anafanya mkutano na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini. Lewis Mbonde Blog imekuwekea matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Dar es Salaam.
View ArticleTAARIFA ZA JESHI LA POLISI KUHUSU KIFO CHA THOMASI MASHALI,WATUHUMIWA WAKAMATWA
TV inae kamishna wa kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro akiongelea kuhusu waliomuua bondia maarufu wa Tanzania Thomas Mashali aliyezikwa juzi Kinondoni Dar es salaam.Sirro amesema ‘Thomas...
View ArticleHongera Sana Rose kwa hatua hii
hongera sana rose For Booking Please Call Mc Dr CheniVODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194
View ArticleHONGERA SANA JASMINE KWA HATUA HII
For Booking Please Call Mc Dr CheniVODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Vipi unakazi za Picture Kwenye jambo lolote muone huyu @binti_photography@binti_photographyPICHA...
View ArticleHONGERA SANA NEEMA USIKU WAKO ULINOGAA SANAA
Hongera sana Neema ulinogaa sanaaFor Booking Please Call Mc Dr CheniVODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Mc nikiwa na bi harusi mtarajiwa Neema @djchichi na @mczipompa...
View ArticleTAZAMA UMATI WA WATU WAKIINGIA VIWANJA VYA LEADERS KWENYE FIESTA 2016
BONYEZA HAPA LEWIS MBONDE BLOG KUONA
View ArticleSaid Fella akanusha taarifa zinazodai kuwa yeye ndie amechangia kuua Jahazi...
Meneja wa kundi la Yamoto Band, Said Fella amefunguka na kusema yeye si sababu ya kuvunjika kwa Band ya Jahazi Modern Taarab ambayo ilikuwa BOFYA LEWIS MBONDE BLOG KUSOMA ZAIDI
View Article