Taarifa rasmi: Aliyekuwa Spika wa Bunge Samwel Sitta afariki dunia
Aliyekuwa Spika wa Bunge, Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo wakati akipatiwa matibabu nchini Ujerumani.Kiongozi huyo inadaiwa alifikwa na mauti saa 7:30 kwa muda wa nchini Ujerumani...
View ArticleAfrima Awards: Diamond Platnumz aondoka na tuzo tatu
Diamond Platnumz ameibuka na ushindi wa nguvu kwenye tuzo za Afrima 2016 zilizotolewa Jumapili hii jijini Lagos, Nigeria. Muimbaji huyo ameshinda tuzo tatu, Song of The Year – Utanipenda, Best...
View ArticleAjali Mbaya ya Noah na Lori la Mizigo Yaua watu 18 Mkoani Shinyanya
Watu 18 wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha lori la mizigo aina ya Scania lenye namba za usajili T198CBQ na Noah ya abiria yenye namba za usajili T232BQR iliyotokea jana usiku katika kijiji cha...
View ArticleMakonda kujenga vituo vya polisi vya kisasa Dar es salaam
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amesema kuwa ana mpango wa kujenga vituo vya polisi vya kisasa katika mkoa wake.Ametoa kauli hiyo katika ziara yake ya kukagua vituo vya polisi vilivyopo...
View ArticleViongozi, wasanii pamoja na wadau wamlilia Samweli Sitta
Viongozi, wasanii pamoja na wadau mbali mbali nchini wamlilia aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samweli Sitta aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo wakati akipatiwa matibabu...
View ArticleWAOMBELEZAJI WAKIWA NYUMBANI KWA ALIYEKUWA SPIKA WA BUNGE MAREHEMU SAMWEL SITTA
WAOMBELEZAJI WAKIWA NYUMBANI KWA ALIYEKUWA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO MAREHEMU SAMWERL SITTA MASAKI JIJINI DAR ES SALAAMMKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM POAL MAKONDA AKIZUNGUMZA NA BAADHI YA...
View ArticleWezi waiba hela na kutoweka na mtambo wa ATM
Polisi nchini Kenya katika jiji kuu Nairobi wamemkamata mlinzi wa Benki ya Equity kuhusiana na wizi mwishoni mwa wiki ambapo wezi walitoweka na mtambo wa kutoa pesa, ATM.Wezi hao walitoweka na kiasi...
View ArticleDiana Miss Tanzania alia na Kamati ya Miss Tanzania ‘zawadi sijapewa,...
Miss Tanzania 2016 Diana Edward ambaye ndiye mrembo anayetarajiwa kwenda kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya urembo ya dunia ‘Miss World’, ameilalamikia kamati ya mashindano hayo kwa kumtelekeza...
View ArticleTANZIA:Aliyewahi kuwa Waziri wa elimu awamu ya tatu, Joseph Mungai afariki...
Aliyewahi kuwa waziri wa Elimu Tanzania Joseph Mungai amefariki Dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu Geofrey Mungai mtoto wa Marehemu amesema marehemu alipelekwa...
View ArticleBAADA YA SCORPION MTOA MACHO…HUYU MWINGINE ANAJIITA RAMBO MKATA MAPANGA
Wiki chache baada ya kutokea kwa stori za ‘Scorpion’ ambaye alizichukua headlines kutokana na kuhusishwa kwake na matukio ya uporaji na kuwadhuru watu kadhaa kwenye maeneo ya Buguruni Jijini Dar es...
View ArticleWasanii Waliofanikiwa Kuwania Tuzo za EATV
Zikiwa zimebaki siku 33 kutolewa kwa Tuzo za EATV ambazo zinahusisha wasanii wa muziki pamoja na wasanii wa filamu nchini, East Africa Television leo imetangaza wasanii ambao wamefanikiwa kuingia...
View ArticleTunda Man Atoa Ushauri Huu kwa Madee Kuhusu Ndoa
Msanii wa bongo fleva Tunda Man amemshauri rafiki yake Madee kufunga ndoa kwa kuwa amemzidi umri na ana mwanamke ambaye anampenda hivyo haoni sababu ya Madee kuacha kufunga ndoa na yupo tayari...
View ArticleMimi Sio Meneja wa Wema Sepetu – Martin Kadinda
Aliyekuwa meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amefunguka na kuzungumzia mahusiano yake na malkia huyo wa filamu baada ya wawili hao kutokuwa karibu zaidi kama zamani.Wema Sepetu na Martin...
View ArticleHizi ndio Sababu zilizomfanya Trump Kushinda
Ni wachache waliokuwa na fikra kuwa Trump angewania Donald Trump alipita vizingiti vyote kutoka mwanzo wa kampeni yake ya kuwania urais zaidi ya mwaka mmoja uliopita.Ni watu wachache walikuwa na fikra...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MZEE JOSEPH MUNGAI...
Rais Dkt. John Pombe Magufuli, akiwasili kwenye Ukumbi wa Karimjee kulikofanyika shughuli ya kuaga mwili wa Mzee Joseph Mungai, aliewahi kuwa Waziri katika Wizara mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya...
View ArticleMashabiki msitengeneze bifu isiyo ya lazima kati ya Wizkid na Alikiba
Ushabiki ni mzuri kufurahia, ni mzuri kupongezana, lakini pale unapoingiza matusi, hakika matokeo yake ni mabaya siku zote. Ama pengine ushabiki kimuziki tulionao Tanzania, ubaki kuwa wa kurushiana...
View ArticleMke wa Rais Magufuli alazwa Muhimbili
Magufuli akimjulia hali mkewe hospitalini Mke wa Rais wa Tanzania John Magufuli, Janeth, amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili.Ikulu imetoa picha ya Rais Magufuli akimjulia hali katika wodi...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AONGOZA WANANCHI WA MKOA WA DAR ES SALAAM KATIKA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpokea mjane wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mwandamizi Mstafu Marehemu Samuel...
View ArticlePICHA:RAIS OBAMA ALIPOKUTANA NA DONALD TRUMP IKULU KWA MARA YA KWANZA
Rais wa Marekani, Barack Obama leo amekutana na Rais Mteule wa nchi hiyo, Donald Trump ambapo wamefanya mazungumzo baina yao wawili kuhusu BONYEZA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
View ArticleTANZIA: Mbunge Hafidh Ali Tahir Afariki Dunia Alfajiri ya Leo Akiwa Mjini Dodoma
TANZIA: tumepoteza mbunge leo alfajiri majira ya tisa mh. Hafidh Tahir ALLY amefia general hospital DodomaMh. Hafidh Tahir Ally alikuwa mwamuzi wa FIFA na mwana-Yanga ya Kimataifa kindakindaki na ni...
View Article