Makonda asema alisomeshwa chuo na Marehemu Sitta baada ya kuacha kufuatia...
Bila marehemu Samuel Sitta, Paul Makonda asingekuwa hapo alipo leo hadi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam.Akizungumza Ijumaa hii kwenye shughuli za kutoa heshima za mwisho kwa spika huyo wa zamani wa...
View ArticleRais Magufuli aongoza mamia ya Watanzania kuaga mwili wa Samuel Sitta
Mwili wa aliyekuwa spika wa bunge la Tanzania, Samuel Sitta umeagwa katika viwanja vya Karimjee na mamia ya watanzania wakiongozwa na Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais mama...
View ArticleMke wa Rais Mama Janeth Magufuli aruhusiwa hospitali awashukuru madaktari
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli aliyekuwa amelazwa katika wodi ya Sewahaji ya Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam ameruhusiwa na kurejea nyumbani leo...
View ArticleTOA ODA YAKO SASA KAMA UNANIHITAJI NIWE MC KATKA SHEREHE YAKO
For Booking Please Call Mc Dr CheniVODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194
View ArticleAMIGO ASEMA WASANII 15 WAIKIMBIA JAHAZI MODERN TAARAB, KISA HIKI
Msanii wa Jahazi Morden Taarabu Amigo Prince amesema baada ya maamuuzi ya Mzee Yusuph kuachana na muziki na kumrudia Mungu wasanii 15 akiwemo Khadija Yusuph wameihama bendi. AmigoAkipiga story ndani ya...
View ArticleChristian Bella: Namsikiliza kila msanii Bongo, sichagui
King of the best melody Christian Bella amesema hachagui msanii wa kumsikiliza kwenye muziki hapa Bongo huwa anasikiliza kila wimbo wa msanii ulioimbwa vizuri.Muimbaji huyo ameiambia Stori Tatu ya...
View ArticleZitto Kabwe: Marehemu Samweli Sitta Amenilea kwa Kunisomesha
Alfajiri ya tarehe 7 Novemba 2016, tunaamka na kukutana na habari za kusikitisha kuwa Mzee Samwel John Sitta, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametangulia mbele ya haki. Babu...
View ArticleNdugai alimwagia sifa Bunge la 9 lililoongozwa na Marehemu Sitta
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai,amekiri kwa kinywa chake kulisifia bunge la tisa lililokuwa likiongozwa na spika mstaafu, marehemu Samuel Sitta huku akisema lilikuwa ni...
View ArticleGabo Zigamba: Hakuna Wanawake Wakuoa Siku hizi
Msanii wa filamu ambaye anafanya vizuri na filamu ya ‘Safari ya Gwalu’ Gabo Zigamba amefunguka kwa kusema kuwa siku hizi hakuna wanawake wakuoa.Mwigizaji huyo ambaye anapewa nafasi kubwa yakufanya...
View ArticleMartin Kadinda: Diamond Hakukosea Mavazi Kwenye video ya ‘Salome’
Mbunifu wa mavazi nchini, Martin Kadinda amefunguka kwa kusema kuwa Diamond hakukosea kuvaa mavazi aliyovaa kwenye video yake ya wimbo ‘Salome’ baada ya watu katika mitandao ya kijamii kudai mavazi...
View ArticlePicha:Spika Mstaafu Samuel Sitta azikwa Leo Urambo Tabora
November 12 2016 yamefanyika mazishi ya Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samuel John Sitta aliyefariki dunia November 7 2016 katika hospitali ya Technical University of Munich...
View ArticleASKARI POLISI AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI AKIWA LINDONI
Ni hawa askari wapya waliotoka depo Namba J, watu wanasema saa nyingine alikuwa na matatizo. Inauma sana, inakuaje Askari ajiue mwenyewe?Lakini kilichonishitua zaidi ni sijaona damu sehemu alipolazwa....
View ArticleNilipumzika Muziki Kula Bata – Ommy Dimpoz
Msani Ommy Dimpoz amesahihisha mashabiki walipokuwa wakisema msanii huyo kafulia baada ya kukaa kimya muda mrefu kwenye game, na kusema aliamu tu kupumizka kwa muda na si kama alifulia.Ommy Dimpoz...
View ArticlePicha: Mazishi ya Spika Mstaafu Samwel Sitta
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakitoa heshima za mwisho kwa Spika Mstaafu, marehemu Samuel Sitta kabla ya mazishi yake yaliyofanyika jana Urambo mkoani Tabora Spika wa Bunge la Jamhuri ya...
View ArticleTrump kuwatimua wahamiaji haramu milioni 3 kutoka Marekani
Wasiyemtaka ameingia ikulu ya Marekani na kama walikuwa wakidhani vitisho alivyokuwa akivitoa wakati wa kampeni vilikuwa ni mkwara tu, wanapaswa kujipanga upya!Ni kwasababu Rais Mteule wa nchi hiyo,...
View ArticleSerikali yasema haijui idadi ya Watanzania watakaotimuliwa na Trump Marekani
Serikali imesema kuna Watanzania wengi wanaoishi Marekani kinyume cha sheria, lakini haijui idadi yao wakati Rais mteule wa nchi hiyo, Donald Trump akisubiriwa kutekeleza ahadi yake ya kutimua...
View ArticleWadaiwa Sugu Bodi ya Mikopo wapewa siku 30
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa bodi hiyo Abdul-Razaq Badru amesema kuwa hadi sasa kuna jumla ya wadaiwa sugu 142,470 wenye mikopo ya shilingi...
View Article