Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Christian Bella: Namsikiliza kila msanii Bongo, sichagui

$
0
0
King of the best melody Christian Bella amesema hachagui msanii wa kumsikiliza kwenye muziki hapa Bongo huwa anasikiliza kila wimbo wa msanii ulioimbwa vizuri.
13473283_548042955383857_1817904920_n
Muimbaji huyo ameiambia Stori Tatu ya Planet Bongo ya East Africa Radio, “Sina role model, huwa nasikiliza kila wimbo wa msanii ambaye ameimba vizuri ila kwa nje namsikiliza sana Chris Brown kwa sababu hata majina yetu yanaendana, yeye ni CB na mimi ni CB.”
“Wakati mwingine namsikiliza Diamond, Ali na wakati huo huo naweza nikamsikiliza hata Neddy Music,” ameongeza.
Kwa sasa muimbaji huyo anafanya vizuri na wimbo ‘Nishike’.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>