Bodi ya Mikopo(HESLB) Yatoa majina ya wadaiwa sugu kuanzia mwaka 1994 hadi...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inatangaza orodha ya majina ya Wadaiwa Sugu ambao wamehitimu katika Vyuo mbalimbali vya Elimu ya Juu kuanzia mwaka wa masomo 1994/1995. Wasugu hao wanapewa...
View ArticleMasanja Mkandamizaji Adai Anampenda Monica Mpaka Wanawake Wengine Anawaona ni...
Mchekeshaji Masanja Mkandamizaji amefunguka ya moyoni kuhusu mkewe wake na kuandika yafuatayo.....
View ArticleHaya ni Maneno ya TB Joshua baada ya kudaiwa kutabiri uongo uchaguzi wa Marekani
Mhubiri maarufu wa Nigeria TB Joshua amefunguka kuhusu utabiri wake ambao alioutoa kuwa mgombea Urais nchini Marekani Hillary Clinton angeshinda lakini haikuwa hivyo.Kupitia account yake ya facebook...
View ArticleKijana aliyekosa matibabu MOI kutokana na urefu wake afunguka
Kijana Baraka Elias (35), mwenye urefu wa futi 7.4 ambaye ameshindwa kufanyiwa matibabu ya kubadilishwa nyonga katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI), amevunja ukimya na kueleza...
View ArticleRais Magufuli Asaini Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016
Rais John Magufuli ametia saini Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016 iliyopitishwa na Bunge katika mkutano wake wa tano mjini Dodoma.4-5Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais,...
View ArticlePICHA ZA UTOTONI ZA OBAMA,TRUMP,MICHELLE NA HILLARY CLINTON
Imekuwa ni kazi yangu kila Alhamisi kukumbushana picha za zamani za watu maarufu “TBT”, leo Nov 17 2016 nakusogezea TBT za Rais wa Marekani anayemaliza muda wake Barack Obama na mkewe Michelle Obama,...
View ArticlePAUL Makonda "Mnasubiria Nitumbuliwe, Mimi Najua Nipo Kwa Kusudi la Mungu"
Baada ya kauli ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kusema atamwajibisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda iwapo hatasimamia ipasavyo kukomesha matumizi ya dawa za kulevya, aina ya shisha, Makonda...
View ArticleMajibu ya Jeshi la Polisi Makao Makuu kuhusu tuhuma za Rushwa dhidi ya...
Jeshi la polisi nchini limesema litafanya uchunguzi wa tuhuma za rushwa dhidi ya Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamanda Simon Sirro na baadhi ya makamanda wa mikoa akiwemo kamanda wa...
View ArticleKIGOGO MSTAAFU WA MAGEREZA AFARIKI BAADA YA KUINGIA GESTI NA MSICHANA DODOMA
Naibu Kamishna mstaafu wa Magereza nchini (DCP), Luhusa Chiza (62) amefariki dunia katika mazingira ya utata kwenye Hoteli ya Kitemba mjini Dodoma. Kwa mujibu wa mashuhuda tukio hilo, mwili wa Chiza...
View ArticleYule Mwanamume mwenye HIV aliyefanya mapenzi na wanawake 104 Malawi apatikana...
Mwanamume mmoja raia wa Malawi aliye na virusi vya HIV amepatikana na hatia chini ya sheria ya jinsia ya nchi hiyo,baada ya kukiri kufanya ngono na wanawake 104 bila kufichua hali yake ya kiafyaBOFYA...
View ArticleRais Magufuli aitumbua bodi ya wakurugenzi ya TRA na mwenyekiti wake
Bernard MchomvuMwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa mamlaka ya mapato nchini TRA, Bernard Mchomvu ameamka na habari mbaya Jumapili hii. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli...
View ArticleKukamatwa kwa kinara wa matusi Instagram kuwe funzo kwa wengine wanaochezea...
“Mwanangu unafanya nini chumbani,” ni kauli ya mama kwa mwanae aliyejifungia chumbani kwake akiwa busy utadhani anaandika proposal ya biashara ya mabilioni. “Ninaupdate kitu kwenye Instagram mama,”...
View ArticleHili la Perfume, Diamond Ataandika Historia Nyingine Muhimu Kwake
Kwanza nikiri kuwa, Diamond ana fursa nyingi za wazi wazi ambazo ameziacha tu zipite. Kwa umaarufu aliojikusanyia hadi sasa katika bara zima, alipaswa kuwa na miradi mingi chini ya jina lake ambayo...
View ArticleHATIMAYE LADY JAY DEE AMFUNGA NDOA NA RASTA HUYU
Huenda Lady Jaydee akawa amepata mwanaume wa kumkabidhi moyo wake. Tangu aachane na mume wake, Gardiner G Habash, muimbaji huyo mkongwe hajawahi kuonekana na mwanaume aliyehisiwa kuwa ni mpenzi wake....
View ArticleAKUTWA AMEFARIKI NJIANI JIJINI JIJINI MBEYA
Mtu mmoja aliye fahamika kwa jina moja la "Mwitta" Mfanyabiashara wa kuuza Nyama ya Ng'ombeafanyae bishara zake Eneo la Mwanjelwa, Akutwa amefariki dunia asubuhi ya leo katika eneo la Mafiati jijini...
View ArticleMTV Base south Africa, Imetaja List ya Marapa 10 wakali Kutoka Bongo...
Sasa Luninga ya MTV Base south Africa, imetaja list ya marapa 10 wakali waliotisha zaidi kwa mwaka 2016.Namba moja wamempatia rapa Fareed ‘Fid q’ Kubanda kutokea Mkoani Mwanza, Itazame list nzima hapo...
View ArticleMajambazi Yawachezesha ‘Kwaya’ na Kuwapigisha ‘Maombi’ Wenye Nyumba Kabla ya...
Baba wa familia iliyoporwa jana katika mtaa wa Epe mjini Lagos nchini Nigeria, amesimulia kuwa Majambazi waliwaamuru kushiriki nao ku BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleMchungaji Atumia Dawa ya Mbu ya Doom Kuwaponesha Watu Kwa Miujiza
Mchungani wa Afrika kusini ambaye aliwapulizia dawa ya kuua wadudu inayoitwa Doom waumini amelaaniwa vikali.Katika taarifa aliyoituma kwenye ukurasa wa Facebook, pmchungaji aliyejitangaza kama nabii...
View Article