Ndalichako Awalaumu Wazazi Kuwa chanzo cha kushuka kwa maadili miongoni mwa...
Serikali imewalaumu wazazi kuwa ni chanzo cha kushuka kwa maadili miongoni mwa wanafunzi, kwa kuwa kama walezi, hawana ushirikiano mzuri na walimu.Kutokana na hali hiyo, imesema walimu wameacha...
View ArticleSiku ya kuachiwa filamu ya maisha ya Tupac yatajwa rasmi
Filamu hiyo imepangwa kuachiwa siku aliyozaliwa rapper huyo Juni 16, 2017. Kwenye filamu hiyo Demetrius Shipp ameigiza kama Tupac huku Danai Gurira akiigiza nafasi ya Afeni Shakur ambaye ni mama mzazi...
View ArticleMTV Base south Africa, Imetaja List ya Marapa 10 wakali Kutoka Bongo...
Sasa Luninga ya MTV Base south Africa, imetaja list ya marapa 10 wakali waliotisha zaidi kwa mwaka 2016.Namba moja wamempatia rapa Fareed ‘Fid q’ Kubanda kutokea Mkoani Mwanza, Itazame list nzima hapo...
View ArticleRUNGU LA RC MAKONDA LAMVAA MWENYEKITI WA SERIKALI ZA MITAA KWA TUHUMA ZA...
MWENYEKITI WA MTAA WA GONGO LA MBOTO AKITIWA MBARONI NA JESHI LA [OLISI MARA BAADA YA AMRI YA RC MAKONDA BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticlePicha:Waziri Nape Nnauye Alivyotembelea Kundi la Wasafi Classic Linaloongozwa...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mheshimiwa Nape Nnauye ametembelea ofisi za Kundi la musiki wa kizazi kipya la Wasafi.Pamoja na mambo mengine uongozi wa kundi hilo umemuomba waziri huyo...
View ArticleMikoa Mitano inayoongoza kwa Ndoa za utotoni Tanzania
Tanzania imetajwa kuwa ni moja kati ya nchi zenye viwango vya juu vya matukio ya ndoa za utotoni. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) katika utafiti uliochapishwa mnamo Januari, 2016 uliitaja...
View ArticleMashabiki msitengeneze bifu isiyo ya lazima kati ya Wizkid na Alikiba
Ushabiki ni mzuri kufurahia, ni mzuri kupongezana, lakini pale unapoingiza matusi, hakika matokeo yake ni mabaya siku zote. Ama pengine ushabiki kimuziki tulionao Tanzania, ubaki kuwa wa kurushiana...
View ArticleMke wa Rais Magufuli alazwa Muhimbili
Magufuli akimjulia hali mkewe hospitalini Mke wa Rais wa Tanzania John Magufuli, Janeth, amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili.Ikulu imetoa picha ya Rais Magufuli akimjulia hali katika wodi...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AONGOZA WANANCHI WA MKOA WA DAR ES SALAAM KATIKA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpokea mjane wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mwandamizi Mstafu Marehemu Samuel...
View ArticlePICHA:RAIS OBAMA ALIPOKUTANA NA DONALD TRUMP IKULU KWA MARA YA KWANZA
Rais wa Marekani, Barack Obama leo amekutana na Rais Mteule wa nchi hiyo, Donald Trump ambapo wamefanya mazungumzo baina yao wawili kuhusu BONYEZA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
View ArticleTANZIA: Mbunge Hafidh Ali Tahir Afariki Dunia Alfajiri ya Leo Akiwa Mjini Dodoma
TANZIA: tumepoteza mbunge leo alfajiri majira ya tisa mh. Hafidh Tahir ALLY amefia general hospital DodomaMh. Hafidh Tahir Ally alikuwa mwamuzi wa FIFA na mwana-Yanga ya Kimataifa kindakindaki na ni...
View ArticleMakonda asema alisomeshwa chuo na Marehemu Sitta baada ya kuacha kufuatia...
Bila marehemu Samuel Sitta, Paul Makonda asingekuwa hapo alipo leo hadi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam.Akizungumza Ijumaa hii kwenye shughuli za kutoa heshima za mwisho kwa spika huyo wa zamani wa...
View ArticleRais Magufuli aongoza mamia ya Watanzania kuaga mwili wa Samuel Sitta
Mwili wa aliyekuwa spika wa bunge la Tanzania, Samuel Sitta umeagwa katika viwanja vya Karimjee na mamia ya watanzania wakiongozwa na Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais mama...
View ArticleMke wa Rais Mama Janeth Magufuli aruhusiwa hospitali awashukuru madaktari
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli aliyekuwa amelazwa katika wodi ya Sewahaji ya Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam ameruhusiwa na kurejea nyumbani leo...
View ArticleAMIGO ASEMA WASANII 15 WAIKIMBIA JAHAZI MODERN TAARAB, KISA HIKI
Msanii wa Jahazi Morden Taarabu Amigo Prince amesema baada ya maamuuzi ya Mzee Yusuph kuachana na muziki na kumrudia Mungu wasanii 15 akiwemo Khadija Yusuph wameihama bendi. AmigoAkipiga story ndani ya...
View ArticleChristian Bella: Namsikiliza kila msanii Bongo, sichagui
King of the best melody Christian Bella amesema hachagui msanii wa kumsikiliza kwenye muziki hapa Bongo huwa anasikiliza kila wimbo wa msanii ulioimbwa vizuri.Muimbaji huyo ameiambia Stori Tatu ya...
View ArticleZitto Kabwe: Marehemu Samweli Sitta Amenilea kwa Kunisomesha
Alfajiri ya tarehe 7 Novemba 2016, tunaamka na kukutana na habari za kusikitisha kuwa Mzee Samwel John Sitta, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametangulia mbele ya haki. Babu...
View Article