$ 0 0 Mkutano wa saba wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeanza leo Dodoma ambapo umeshuhudiwa na ugeni wa Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete pia mapema asubuhi mbunge wa kuteuliwa Mama Salma Kikwete ameapishwa.Mama Salma Kikwete