Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Browsing all 2428 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKICHINJA NG'OMBE INDIA ADHABU YAKE NI KIFUNGO CHA MAISHA JELA

Jimbo lililo magharibi mwa India la Gujarat, limepitisha sheria ya kuharamisha kuchinjwa ng'ome na kutangaza adhabu ya kifungo cha maisha jela kwa yoyote ambaye atapatikana na kosa hilo.Chini ya sheria...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbwana Samatta Hashikiki Atupia Tena, Genk ikiua 4 - 0

Mbwana Samatta akifunga bao hilo jana, ambalo lilikuwa la pili kwenye mchezoNAHODHA wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana amefunga bao moja timu yake, KRC Genk ikishinda 4-0 Uwanja wa Luminus Arena...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Gabo ashangilia miaka 12 ya ndoa yake, aeleza kwanini ndoa za vijana...

Msanii wa filamu Gabo Zigamba amefunguka kwa kudai kuwa vijana wengi wanashindwa kudumu kwenye maisha ya ndoa kwa kuwa wanashindwa kufuata mafundisho ya wazazi wao.Muigizaji huyo ambaye ana miaka 12...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBIO ZA MWENYE WA UHURU 2017 ZIMEZINDULIWA...ANGALIA RATIBA HAPA

Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2017 zimezinduliwa rasmi jana katika uwanja wa Kumbukumbu Mjini Mpanda mkoani Katavi na unatarajiwa kuzunguka katika mikoa yote 31, ukipita kwenye halmashauri 195 kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMATATU APRILI 3,2017- TANZANIA & NJE YA TANZANIA

Magazetini leo Jumatatu Aprili 3,2017-yapo ya Tanzania na nje ya Tanzania

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIBONZO VILIVYOBAMBA LEO MTANDAONI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Jumanne ya April 4,2017

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA 5: Rais mstaafu Kikwete, Mama Salma bungeni leo

Mkutano wa saba wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeanza leo Dodoma ambapo umeshuhudiwa na ugeni wa Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete pia mapema asubuhi mbunge wa kuteuliwa Mama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bunge la Bajeti laanza rasmi leo

Mkutano wa saba wa Bajeti wa Bunge la 11 unaanza leo mjini Dodoma ambao Juni 15, mwaka huu utapokea taarifa ya hali ya uchumi na baadaye jioni bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2017/2018.Kwa mujibu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAWA NDIO WATOTO WA MASTAA WA BONGO WENYE FOLLOWERS WENGI INSTAGRAM

1. Tiffah wa Diamond & ZariKatika akaunti yake watu zaidi ya milioni 1.2 wanamfuata, huku yeye akiwafuata watu watatu tu ambao ni pamoja na wazazi wake, huku akituma picha 819.2. Cookie wa Aunty...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA SALMA KIKWETE AAPISHWA KUWA MBUNGE

Spika wa bunge, Job Ndugai akimwapisha Mama Salma Kikwete kuwa mbunge, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2017.Mama Salma Kikwete akiapa kuwa mbunge, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2017.Waziri Mkuu, Kassim...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF. KITILA MKUMBO ATEULIWA KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI NA UMWAGILIAJI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITILA MKUMBO AJIUZULU UONGOZI ACT WAZALENDO

BAADA YA KUTEULIWA NA RAIS KUSHIKA NAFASI YA KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI.KAULI YA ZITTO KABWE HII HAPAUteuzi wa Prof. Kitila Mkumbo kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Leo asubuhi Rais John...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kitila Mkumbo Amshukuru Rais Magufuli Kwa Kumteua Kuwa Katibu Mkuu Wizara ya...

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Prof. Kitila Mkumbo amemshukuru Rais Magufuli kwa kumteua kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo akichukua nafasi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII NDIO INADAIWA KUWA SABABU YA BINTI KUTAKA KUJITOA UHAI KWA KUJILUSHA...

BINTI wa miaka 16 (jina linahifadhiwa kutokana na umri wake), aliyejitupa baharini kutoka kwenye 'boti' iliyokuwa ikitoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar jana asubuhi, alikuwa akirudishwa nyumbani kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Jumatano ya April 5,2017

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanaume waagizwa kutokimbia mimba

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamisi Kigwangalla amewaagiza wanaume wanaowapa mimba wanawake kutunza mimba hizo na kulea watoto na si kukimbia na kujitokeza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Simu ndio chanzo cha Binti Kujitupa Baharini Juzi Wakati Akirudishwa Kwao...

KISA cha binti mwenye umri wa miaka 16 (jina linahifadhiwa kutokana na miaka yake) kujitupa baharini akiwa katika boti ya Kilimanjaro V akitoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar juzi, kinaanzia kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Alhamisi ya April 6,2017

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbasha Asimulia Jinsi Flora Alivyomsaliti na Kuzaa Nje ya Ndoa

Muimbaji wa nyimbo za injili madam Flora (Zamani Flora Mbasha) amekiri kupata mtoto nje ya ndoa yake na aliyekuwa mume wake Emmanuel Mbasha ambaye pia ni muimbaji wa nyimbo za injili. Imefahamika.Hilo...

View Article
Browsing all 2428 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>