Waziri Mkuu Bungeni: Serikali Imeunganisha Shule 417 Kwenye Mtandao Wa...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali kwa kushirikiana na kampuni ya Viettel ya Vietnam inatekeleza mradi wa ujenzi wa miundombinu ya mawasiliano vijijini ambao umefanikisha kuweka miundombinu...
View ArticleHII HAPA Hotuba Ya Mhe. Waziri Mkuu Aliyoitoa Leo Bungeni
UTANGULIZIMheshimiwa Spika, naomba kutoa Hoja kwamba kutokana na taarifa zilizowasilishwa leo katika Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mwenyekiti wa...
View ArticleMAKONDA APIGA MARUFUKU KUANZIA LEO UUZWAJI, USAMBAZAJI NA UONYESHAJI WA...
Mkuu wa Mkoa Mh,Paul Makonda akijadiliana jambo na Kamanda SirroKikao kikendeleaRC Makonda akiwa katika picha na Msanii wa Filamu aitwae Rado.• ATOA SIKU 10 KWA YEYOTE ANAYEJIHUSISHA NA BIASHARA YA...
View ArticleMke wa Rais Mama Janeth Magufuli Alivyosherehekea Siku yake ya Kuzaliwa...
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli jana aliadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa wagonjwa katika Taasisi ya Magonjwa ya Saratani ya Ocean jijini Dar es salaam na kutoa...
View ArticleSIMBA SIO WA MCHEZO MCHEZO HATIMAYE WARUDI KILELENI
SIMBA SC imetoka nyuma kwa mabao 2-0 na kushinda 3-2 dhidi ya wenyeji, Mbao FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.Sifa zimuendee mshambuliaji...
View ArticleSerikali yatoa ajira kwa walimu 3,081.....Yasema upungufu wa walimu wa...
Serikali imesema jumla ya walimu 3,081 wakiwemo walimu 7 wa shule ya Sekondari Omumwani Kagera, wameajiriwa, hivyo bado kuna nafasi ya walimu 1.048 kati ya nafasi 4,129 za walimu wa Sayansi na Hisabati...
View ArticleRais Magufuli Akizindua Ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Dar hadi Moro....Haya ni...
Rais Magufuli amezindua Rasmi ujenzi wa Mradi wa Reli ya Kisasa ya Kimataifa ambayo treni ya kisasa inayotumia umeme itaweza kusafiri kwa mwendokasi wa kilomita 160 kwa saa.==> Haya ni baadhi ya...
View ArticleMajina ya Walimu wa Sayansi na vituo vya kazi walivyopangiwa
Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imetangaza ajira mpya kwa Walimu wa masomo ya Hisabati na Sayansi leo tarehe 12 Aprili, 2017.BONYEZA HAPA KUYAONA
View ArticleRais Magufuli Ampigia Simu Mwana FA na Kumpongeza
Msanii wa Hip hop Tanzania Hamis Mwinjuma maarufu kama mwana FA jana alielezea alivyofurahishwa na simu aliyoipokea kutoka kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John pombe Magufuli...
View ArticleAskari Polisi 8 Wauawa na Majambazi.....Rais Magufuli Atuma Salamu za...
Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za vifo vya Askari Polisi 8 waliouawa kwa kushambuliwa na watu wenye silaha jana jioni katika eneo la...
View ArticleImebainika: Kumbe Marekani haikutuma meli za kivita Korea...
Marekani na Korea Kaskazini zimeendelea kujibizana vikali, ambapo safari ya meli za kivita za Marekani ikiwemo meli yenye uwezo wa kubeba ndege za kivita ya Carl Vinson imeibua hisia kubwa na uwezekano...
View ArticleWATU 13 WATAKIWA KUFIKA KITUO CHA KATI WAKIWA NA MITAMBO YA KUZALISHA KAZI ZA...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam , Paul Makonda akiwa katika maandamano na wasanii wa Filamu hapa nchini kupinga uuzwaji wa filamu za nje ya nchi ambazo hazilipiwi ushuru. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,...
View ArticleRais Magufuli: Atakayethubutu Kuuvunja Muungano Atavunjika Yeye
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 26 April 2017, ameongoza maelfu ya Watanzania katika sherehe za miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar...
View Article