Rais Magufuli atoa msamaha kwa wafungwa Katika Kuadhimisha miaka 53 ya Muungano
Katika kuadhimisha Miaka 53 ya Muungano wa Tanzania tarehe 26 Aprili, 2017 Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutumia madaraka aliyopewa chini ya Ibara ya 45(1)(d) ya Katiba ya...
View ArticleMwakyembe Apiga Marufuku Magazeti Kusomwa Redion na Katika Television
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb), jana tarehe 03 Mei, 2017 alikuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani,...
View ArticleWaziri kijana zaidi wa Somalia auawa kwa risasi
Waziri mwenye umri mdogo zaidi nchini Somalia ameuawa kwa kupigwa risasi mjini Mogadishu muda mchache baada ya kuzindua mradi wa ujenzi wa jengo kwa ajili ya watumishi wa umma.Kioo cha gari kikionyesha...
View ArticleTunahitaji dakika 9 tu kuichapa Mbao FC – Manara
Msemaji wa Klabu ya Simba SC, Haji Manara ameanza majigambo yake mapya kwa kuwaambia Mbao FC watatumia dakika tisa tu kuwaangamiza katika fainali za Kombe la FA, zinazotarajiwa kuchezwa Mei 28, katika...
View ArticleSERIKALI Yagharamia Msiba wa wa Wanafunzi 32 Waliofariki Arusha
Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania imegharamia Sanda pamoja na majeneza kwa ajili ya Wanafunzi wa Shule ya Lucky Vicent waliopoteza maisha mapema jana kwenye ajali iliyokuwa ikihusisha safari...
View ArticleMakamu wa Rais kuongoza Waombolezaji leo kuaga Miili ya wanafunzi 32 jijini...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan aliwasili mjini Arusha jana jioni ambapo leo ataongoza wananchi wa mkoa wa Arusha na mikoa ya jirani katika kuaga miili ya...
View ArticlePicha za wanafunzi 32, walimu 2 na dereva mmoja wa Shule ya Lucky Vicent...
Juzi wanafunzi 32 wa darasa la saba, walimu 2 na dereva wa gari la shule ya msingi iitwayo Lucky Vicent ya Arusha walifariki dunia majira ya saa 3 asubuhi baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupata...
View ArticleWabunge wameafiki kutoa posho zao za siku kwa ajili ya rambirambi kwa familia...
Wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo wakiwa bungeni wamekubaliana kwa kauli moja kuwa posho za kila mbunge kwa siku ya leo zipelekwe kwa wazazi wa wanafunzi waliofariki kwa ajali ya...
View ArticleMAELFU WAJITOKEZA KUWAAGA WANAFUNZI ,WALIMU NA DEREVA WALIOFARIKI KWENYE...
Maelfu ya wananchi wa ndani na nje ya mkoa wa Arusha wamejitokeza kuwaaga wanafunzi,walimu na dereva wa shule ya Lucky Vicent waliofariki katika ajali ya gari juzi. Mageti ya Uwanja wa Sheikh Amri...
View ArticlePICHA: Makamu Wa Rais Awatembelea Wanafunzi Walionusurika Katika Ajali Iyoua...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Sadia Isamel Awadhi mwenye umri wa miaka 11 ambaye ni mmoja wa majeruhi waliolazwa kwenye hospitali mkoa wa...
View ArticleTreni ya Abiria Yapata Ajali Morogoro
Treni ya abiria imepata ajali usiku saa 5 eneo la Stesheni ya Mazimbu Morogoro ambapo mabehewa manne yameegama na matatu yameacha reli.Ashura Mrisho aliyekuwa anakwenda Tabora amejeruhiwa kwa...
View ArticlePICHA: Hospitali Marekani yafanikisha upasuaji mkubwa wa wanafunzi...
Watoto watatu wa shule ya msingi ya Lucky Vicent walionusurika katika ajali ya basi, wamefanyiwa upasuaji na sasa wapo wodini wakiendelea na BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleTANZIA: Dogo Mfaume Amefariki dunia
Msanii wa muziki wa bongo fleva, Dogo Mfaume ambaye aliwahi kutamba na nyimbo kama 'Kazi Yangu Ya Dukani' amefariki dunia jana katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akiendelea kupatiwa...
View ArticleUamuzi wa Rais Magufuli kuhusu wafanyakazi 9 wa TBC waliotangaza habari ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewasamehe wafanyakazi tisa wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) waliokuwa wamesimamishwa kazi kwa kosa la kurusha habari ya uongo...
View Article