Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

MAELFU WAJITOKEZA KUWAAGA WANAFUNZI ,WALIMU NA DEREVA WALIOFARIKI KWENYE AJALI ARUSHA..SHUHUDIA PICHA HAPA...KILIO KILA KONA

$
0
0

Maelfu ya wananchi wa ndani na nje ya mkoa wa Arusha wamejitokeza kuwaaga wanafunzi,walimu na dereva wa shule ya Lucky Vicent waliofariki katika ajali ya gari juzi. Mageti ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid yamelazimika kufungwa kutokana na idadi kubwa ya waombolezaji huku wengine wakiendelea kuwasili.Viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa na serikali wamehudhuria zoezi hilo wakiongozwa na Makamu wa rais Samia Suluhu

TAZAMA VIDEO HAPA CHINI
 Maelfu ya wananchi waliojitokeza uwanjani


TAZAMA PICHA


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>