NIKIWA NA RAISI WETU MSTAAFU MH JAKAYA KIKWETE
Live na baba Mlezi wa bi Harusi mh jakaya Mrisho kharfan Kikwete full Kucheko baba mpenda watu na watu wanampenda muda wote wananchi walitaman asiondoke ukumbini. Asante @bennyphotop asante @ki2pe...
View ArticleAkaunti ya Shamsa Ford yenye followers 2.1m yadukuliwa (hacked)
Wizi wa akaunti za mitandao ya kijamii kwa mastaa Bongo bado unaendelea – na sasa ni zamu ya Shamsa Ford kulia.Akaunti ya mtandao wa Instagram ya muigizaji huyo ambayo ilikuwa na followers milioni 2.1...
View ArticleRais Mhe. Dkt. Magufuli Avitaka Vyombo vya Habari Kuweka Mbele Uzalendo
Rais wa Tanzania Mh Dkt. John Magufuli amevitaka vyombo vya habari nchini kuweka mbele uzalendo kwani wao wana mchango mkubwa katika kuliinua  ama kuliangamiza taifa.Mhe. rais ameyasema hayo alipokuwa...
View ArticleHIKI NDICHO AMBACHO ANGEKIFANYA RAY KIGOSI KAMA ANGEKUA WAZIRI WA...
Habari kubwa Tanzania na East Africa kwa ujumla kuanzia jana asubuhi ni kuhusu utenguzi wa baraza la mawaziri uliofanywa na Mh Raisi John Pombe Magufuli kwa kumvua uwaziri aliyekuwa waziri wa Habari,,...
View ArticleHongereni Sana Mr and Mrs kamonje Usiku wenu ulinogaa sanaa
Hongereni Sana Mr and mrs kamonjeBi Harus Wangu huyo Asha meck sadick ulipendezaNasaha za Rais mstafu mh Dr jakaya Mrisho Kikwete kwa maharusiBaba jakaya Mrisho Kikwete alikuwa pemben akiangalia...
View ArticleShilole: Nikichemka Muziki, Nakuwa Mama Lishe
STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameibuka na kusema kuwa endapo itatokea muziki ukambumia atageukia kazi ya mama ntilie ‘mama lishe’ kwa sababu anaipenda na iko kwenye...
View ArticleIkulu Yakanusha Taarifa ya Serikali Kufuta Mitandao ya Kijamii
Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Ikulu, Gerson Msigwa ameikanusha taarifa inayosambaa ikionyesha kuwa serikali inatishia kuifuta mitandao ya kijamii.Taarifa hiyo...
View ArticleKocha wa Botswana Amefunguka Haya ya moyoni Kuhusu Mbwana Samatta
Kocha wa Botswana, Peter Butler ameukubali uwezo wa mshambuliaji wa Taifa Stars, Mbwana Samatta aliyepachika mabao mawili kwenye mchezo wa kirafiki, ambao ulichezwa Uwanja wa Taifa, Dar es...
View ArticleRipoti Yathibitisha Faru John alikufa kwa kukosa matunzo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepokea taarifa rasmi ya uchunguzi wa kifo cha Faru John kutoka kwa Mkemia Mkuu wa Serikali, Prof. Samwel Manyele ambaye alikuwa akiongoza tume maalum iliyoundwa na Waziri...
View ArticleMalawi Yaichokonoa Tena Tanzania Kuhusu Ziwa Nyasa
Rais wa Malawi, Peter Mutharika ameanza tena chokochoko baada ya kutangaza kuwa hakuna nchi ambayo inamiliki kwa pamoja Ziwa Nyasa na kwamba haijafikia makubaliano na nchi yoyote, hivyo ameahidi...
View ArticlePolisi Wanaodaiwa Kuiba Mafuta Ya Ndege Wafikishwa Mahakamani
Askari wawili wanaotuhumiwa kuiba mafuta ya ndege ya Kampuni ya ATCL, kwa kushirikiana na walinzi, wameondolewa kazini na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za uhujumu uchumi.Washtakiwa hao na wenzao...
View ArticleWachina Sio Watu wa Mchezo Mchezo.Tazama Wamepitisha Reli ndani ya Maghorofa...
Kwa wakazi wa mji mmoja huko China, usafiri wa treni unapatikana barazani kwao, tena ghorofani.Katika mji wa Chongqing nchini humo, reli ya treni imejengwa kukatiza juu ya nyumba wanamoishi...
View ArticleINASIKITISHA:WAGONGWA NA NDEGE WAKIPIGA SELFIE
Wanawake wawili wamepoteza maisha yao baada ya kugongwa na ndege walipokuwa wakipiga picha za selfie kwenye barabara inayotumiwa na ndege kutua katika uwanja wa ndege mjini Chinipas, Mexico.Nitzia...
View Article