Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Sophia Simba na wengine wafukuzwa uanachama,...
Habari zilizotufikia hivi punde kutoka Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dodoma ambapo Mkutano Mkuu unaendelea ni kwamba, baadhi ya wananchama wa CCM wamevuliwa uanachama huku wengine wakipewa...
View ArticleSamatta ajitengenezea rekodi mpya kwenye Europa League
Mbwana Samatta amejitengenezea rekodi yake mpya kwenye maisha yake ya soka. Mchezaji huyo amefanikiwa kuingia kwenye timu bora ya wiki ya Europa League.Samatta ameingia kwenye orodha hiyo baada ya...
View ArticleMSANII Q CHIFU ALALAMIKA KUHUSU MKATABA WAKE NA QS
MWANAMUZIKI mkongwe kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Aboubakar Katwila ‘Q-Chillah’ amefunguka na kulalamika kuwa katika makosa makubwa aliyowahi kuyafanya basi ni kusaini mkataba na Lebo ya QS ambao ni...
View ArticleSir George Kahama afariki dunia leo
ALIYEITWA na Mwalimu Nyerere kuingia katika serikali ya kwanza ya wazalendo kwenye madaraka ya ndani 1958 Sir George Kahama amefariki dunia leo saa kumi akiwa katika idara ya magonjwa ya dharura na...
View ArticleKAULI YA MSEMAJI WA SIMBA BAADA YA YANGA KUTOKA SARE NA ZANACO
Baada ya Yanga kulazimishwa sare ya kufungana goli 1-1 na Zanaco FC ya Zambia kwenye mchezo wa klabu bingwa Afrika uliochezwa uwanja wa taifa Jumamosi March 11, 2017, watu wameongea mambo mengi sana,...
View ArticleSAMATTA AZIDI KUFANYA MAAJABU ULAYA,ACHEKA NA NYAVU TENA
Baada ya kufunga magoli mawili kwenye mchezo wa Europa League wakati Genk ilipocheza ugenini dhidi ya Gent, leo March 12, 2017 Samatta ameendeleza moto wa kutupia kambani kwenye ligi kuu ya Ubelgiji...
View ArticleHII HAPA KAULI YA WABOGOJO BAADA YA KUFUNGA NDOA
Mchekeshaji ambaye aliwahi kujizolea umaarufu mkubwa kwa kucheza kwenye nyimbo za msanii Mr. Nice enzi hizo Wabogojo jana ameuaga ukapela kwa kuvuta jiko ndani na kuachana na maisha ya u...
View ArticleMVUA ZILIZONYESHA LEO ZA SABABISHA MAFURIKO DAR
Mvua Kubwa iliyonyesha sehemu mbalimbali za Jiji la Dar es Salaam imepelekea maji kujaa na kusababisha adha ya usafiri. Mwenge, Sinza na Mlimani City ni baadhi ya maeneo yaliyoathiriwa na mvua hii....
View ArticleNimepumzika nafurahi maisha ya kustaafu – Kikwete
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete, amesema kwa sasa amepumzika na anafurahia maisha ya kustaafu kwake.Alizungumza hayo mjini Dodoma katika mkutano maalum wa CCM, alipopewa nafasi ya...
View ArticleIdris adai alichoigiza ndani ya filamu ya Kiumeni kimemtokea kwenye maisha,...
Filamu hiyo ambayo imewakutanisha mastaa mbalimbali wa filamu itaonyeshwa kwa mara ya kwanza Jumatano hii Century Cinemax, Mlimani City jijini Dar es salaam.Akiongea na waandishi wa habari Jumatano hii...
View ArticleSirro Atangaza Operesheni ya Kuwatoa Wanaoishi Mabondeni,Adai Ama Zake Ama...
Kamishna wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema watu wote wanaoishi mabondeni watoke mara moja kwa sababu kufanya hivyo ni kuhatarisha maisha na ambaye hatafanya hivyo...
View ArticlePAUL MAKONDA ATOA AGIZO LA KUBOMOLEWA KWA NYUMBA ZA WATU WALIOPO MABONDENI
Sehemu ya bonde la mto Msimbazi MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameagiza kubomolewa kwa nyumba 36, ambazo zipo kwenye maeneo hatarishi ya mabondeni, ikiwemo bonde la Mto Msimbazi wilayani...
View ArticleMAZISHI YA SIR GEORGE KAHAMA JIJINI DAR ES SALAAM
Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi akiweka udongo katika kaburi la Marehemu Sir George Kahama katika makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es SalaamRais Mstaafu wa awamu ya nne Dk Jakaya...
View ArticleDude Atoa Yake ya Moyoni Kuhusu Aliyoyafanya Rais Magufuli
BAADA ya baadhi ya mastaa wa filamu kuungana na wanachama wa CCM kwenye Mkutano Mkuu uliofanyika mkoani Dodoma hivi karibuni, msanii Kulwa Kikumba ‘Dude’ alijikuta akipagawa baada ya Rais Dk. John...
View ArticleNi kweli sina maeleweno mazuri na mzazi mwenzangu – Barnaba
Barnaba amefunguka kuhusiana na mahusiano yake na mama Steve kwa sasa.Wiki chache zilizopita muimbaji huyo alidaiwa kuachana na mzazi mwenzake huyo ambaye wamefanikiwa kupata mtoto mmoja.Akiongea...
View ArticleHofu ya Kupotezwa na WCB Ilivyomtesa Harmonize
Msanii kutoka lebo ya WCB Wasafi, Harmonize amefunguka na kudai alipata hofu ya kufanyiwa fitina kwenye muziki baada ya uongozi wake kumtaka kuachia wimbo wake mpya kupitia mtandao ulioanzishwa na lebo...
View Article