Diamond ajibu tuhuma za Wimbo wa ‘Salome’ kujaa Matusi
Maoni ya baadhi ya wadau wa muziki kuwa kila wanapousikiliza ‘Salome’ wa Diamond na RayVanny wanapata picha ya matusi, yamekutana na majibu ya Boss huyo wa WCB.Akifunguka jana kwenye kipindi cha Ngazi...
View ArticleMagufuli: Serikali haitatoa chakula cha bure kwa wenye njaa
Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameendelea kusisitiza kuwa kuwa Serikali haitatoa chakula cha msaada kwa watakaopatwa na njaa ilihali wanaweza kuzalisha chakula katika maeneo yao.Rais...
View ArticleRais Magufuli Azuia Passport Ya Mkandarasi kisa hiki hapa
Akiendelea na ziara yake mkoani Lindi, Rais Dkt Magufuli amekagua miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani humo na kutoa maagizo ili kuhakikisha wananchi wananufaika na jitihada za serikali za kuboresha...
View ArticleHii ndio sababu ya Hispania Kumteua Waziri wa Mapenzi kushughulikia Mapenzi
Moja ya habari iliyomake headline kwenye vyombo vya habari vya kimataifa ni pamoja na hii iliyotokea Hispania ambapo Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mariano Rajoy amethibitisha uteuzi wa Edelmira Barreira...
View ArticleAunt Ezekiel: Huu Ndio Wakati Wangu wa Kupata Watoto Zaidi
MSANII wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, amedai kwamba anatamani kupata watoto zaidi kwa kuwa huu ndio wakati wake wa kufanya hivyo na hajui atapata watoto wangapi katika maisha yake.Aunt Ezekiel...
View ArticleOperesheni ya viroba inaendelea- Majaliwa
Dodoma. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema operesheni kuhusu pombe za viroba inaendelea katika mikoa mbalimbali baada ya kupigwa marufuku Machi Mosi.Majaliwa amesema hayo katika kikao cha Baraza la...
View ArticleHONGERENI SANA KAMONJE NA AISHA HARUSI YENU ILIFANA SANAA
FOLLOW ME INSTAGRAMAsante #dressed by :@ki2pe @ki2pe Kwa vaziiiA post shared by Dr cheni (@drchenitz) on Mar 4, 2017 at 4:41pm PST
View ArticleMorogoro: Wakuu wa Shule za Msingi Zilizofanya Vibaya Wakabidhiwa Vinyago
Walimu wakuu wa shule za msingi Magunga na Lubanta, Wilaya ya Mvomero zilizofanya vibaya kwenye mtihani wa darasa la saba mwaka jana, wamekabidhiwa kinyago.Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Mohamed Utaly...
View ArticleRose Ndauka awa mtangazaji mpya wa East Africa Radio
Staa wa Bongo Movie, Rose Ndauka amepata shavu jipya la kutangaza East Africa Radio.Kupitia mtandao wake wa Instagram, muigizaji huyo amethibitisha hilo kwa kuandika ujumbe unaosomeka, “Nafurahi kuwa...
View ArticleJina Analotumia Baraka ni Langu – Dully Sykes
Mwanamuziki mkongwe Prince Dully Sykesy ameweka wazi yeye ndiye aliyempatia jina la kisanii Baraka The Prince miaka kadhaa iliyopita kabla hata msanii huyo hajatoa wimbo hata mmoja.Katika ukurasa wake...
View ArticleDiamond: Sitegemei Redio na TV Kusambaza Nyimbo Zangu
Diamond Platnumz amesema kwa sasa redio na TV si vyombo anavyovitegemea sana kwaajili ya promotion pindi anapokuwa akiachia nyimbo.“Mimi nikiwa natoa nyimbo yangu, promotion yangu siwazi redio wala...
View ArticleTANESCO YATOA SIKU 14 KWA WADAIWA BILI ZA UMEME KULIPA, VINGINEVYO HUDUMA YA...
NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidSHIRIKA la Umeme Tanzania, (TANESCO), limetoa siku 14 kwa Wateja wake wote linalowadai kulipa madeni yao, vinginevyo litasitisha utoaji wa huduma ya nishati kwa...
View ArticleNyota ya Mbwana Samatta Yazidi Kung'aa Europa League, Hivi Ndivyo Alivyofanya...
Mashabiki wa soka wa Tanzania ambao wanafuatilia kwa karibu maendeleo ya soka la nahodha wao wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta akiwa na timu yake ya KRC Genk ataifanyia nini katika mchezo wa...
View ArticleMWENYEKITI WA CCM, RAIS JOHN MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA...
MWENYEKITI wa CCM, Rais John Pombe Magufuli, (pichani wapili kushoto), akiongoza kikao cha Kamati Kuu (CC), ya chama hicho kwenye ukumbi wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma almaarufu kama White House,...
View Article