Mwanafunzi akipata mimba mzazi jela miaka 30
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema serikali itatoa adhabu kali ya kifungo cha miaka 30 jela kwa wazazi wote wawili wa mtoto wa kike atakayekatishwa masomo na kulazimishwa kuolewa ama akipata...
View ArticleTCU Yatoa majina ya wanafunzi wa vyuo vikuu ambao hawana sifa ya kuendelea na...
Tafadhali bonyeza jina la Chuo husika ili uweze kuona OrodhaS/No.JINA LA...
View ArticleMASWALI MATANO YA KUUAWA KWA MPELELEZI
Polisi wa wakiwa eneo la tukioPWANI: Taarifa kutoka Kibiti wilayani Rufiji Mkoa wa Pwani zinasema, mpelelezi wa wilaya hiyo (OC-CID), SP Peter Kubezya ameuawa kwa kupigwa risasi ya tumboni na watu...
View ArticleMKUU WA UPELELEZI WILAYA ALIYEUAWA KIBITI ALIVYOAGWA
RPC Pwani, Bonaventura Mushongi akiaga mwili wa marehemu.Mkuu wa Upepezi wa Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani, OC CID, Peter Kuponezya, aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia...
View ArticleSerikali Yawataka Wananchi Kuanzisha Desturi Ya Kununua Kazi Za Wasanii
Serikali imewataka wananchi kuanzisha desturi ya kununua kazi za wasanii, kwakuwa ndiyo njia pekee inayoweza kuwanufaisha kwa kazi wanazozifanya.Wito huo umetolewa wiki hii na Katibu Mkuu Wizara ya...
View ArticleSimba Yaitandika Mabao 2 Yanga Uwanja wa Taifa
Klabu ya Yanga ilianza vyema mchezo ndani ya dakika za mwanzo kabisa na kupelekea mchezaji Obrey Chirwa mwenye jezi namba 7 mgongoni kufanyiwa madhambi ndani ya kumi na nane na mchezaji wa Simba Novat...
View ArticleTaarifa Muhimu: TCU yatolea ufafanuzi uhakiki wa wanafunzi wasiokuwa na Sifa...
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inapenda kuuarifu umma kuwa, uhakiki wa ubora wa wanafunzi wa elimu ya juuhufanyika kwa mujibu wa Kifungu 5(1)(b)(c) cha Sheria yaVyuo Vikuu Sura ya 346 ya...
View ArticleMbunge Paulina Gekul anusurika Kifo......Alazwa ICU, Ziara yaahirishwa
Mbunge wa jimbo la Babati mjini Paulina Gekul amenusurika kifo baada ya gari lake lenye namba za usajili T 189 BHQ kuacha njia na kupinduka vibaya ambapo mbunge huyo alikuwa katika msafara wa naibu...
View ArticleDonald Trump Apata Pigo Jingine...Waziri Mwigine wa Jeshi Ajiondoa
Mtu mwengine aliyeteuliwa na rais wa Marekani Donald Trump, kujaza wadhfa wa waziri wa jeshi la wanamaji amejiondoa baada ya kuonekana kukiuka sheria za taifa kuhusu mgongano wa maslahi.Philip Bilden...
View ArticleKamanda Sirro Asimulia Anavyosumbuliwa na Wanawake Usiku
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Kamishna, Simon Sirro amesema miongoni mwa changamoto anazokutana nazo ni pamoja kupigiwa simu za vishawishi na wanawake hasa usiku wa manane, wakidhani...
View ArticleRay Kurudi na Nguvu Mpya Kwenye ‘Bongo Movie’
Msanii filamu Bongo Vincent Kigosi ‘Ray’ amefunguka na kuwaomba mashabiki zake kuwa tayari kuipokea kazi yake mpya ya ‘Gate Keeper’ ambayo ina utofauti mkubwa katika kazi zake alizowahi kuzifanya hapo...
View ArticleWaziri Mkuu Kassim Majaliwa afungua mkutano wa watendaji Wakuu wa Mashirika...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mapema leo 28 Februari 2017, ameongoza mkutano wa siku moja wa watendaji wakuu na wenyeviti wa bodi za mashirika ya umma, unaojadili nafasi za mashirika ya Umma katika...
View ArticleAY: Kubaki local au kwenda international ni uamuzi wa msanii mwenyewe
AY ni msanii wa kwanza kutoka Bongo kuwekeza muziki wao nje ya nchi kwa kufanya kazi na wasanii wakubwa kwa wakati huo akiwemo Ms Triniti, Sean King Stone na P Square. Rapper huyo amefunguka kuwa...
View ArticleRais Magufuli Asali Ibada Ya Jumatano Ya Majivu Katika Kanisa Katoliki La...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisali katika Ibada ya Jumatano ya Majivu pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini Wiliam Mkapa, Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary...
View Article