KUTOKA URAIS WA NCHI HADI KUWA OMBAOMBA MTAANI
Duniani tunajifunza na kuona vitu vingi tofauti vya kushangaza, kuogofya na kufurahisha,Wengi wetu hatumjui Valentine Strasser ambaye aliwahi kuwa rais wa nchi ya Sierra Leone kati ya Aprili 29, 1992...
View ArticleWatanzania 58 watimuliwa Msumbiji, wanyang’anywa mali na vitambulisho
Raia 58 wa Tanzania waliokuwa wanaishi nchini Msumbiji wamefukuzwa nchini humo na kurudishwa Tanzania huku wakidai kunyang’anywa mali zao, vitambulisho pamoja na hati za kusafiria na askari wa Msumbuji...
View ArticleUlinzi waimarishwa Taasisi ya Moyo Muhimbili Ambako Yusuf Manji amelazwa
Hali ya ulinzi imeimarishwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alikolazwa mfanyabiashara Yusuf Manji baada ya kuugua ghafla akiwa polisi alikokuwa akihojiwa.Manji aliyekuwa akihojiwa...
View ArticleHIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA TID KWENYE BIRTHDAY YA RC MAKONDA
Ikiwa Jumatano hii ni siku ya sherehe ya kuzaliwa kwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, TID ni miongoni mwa mastaa wa kwanza kumpongeza kiongozi huyo wa serikali japo wiki chache zilizopita...
View ArticleAlichokisema Ridhiwani Kikwete Kuhusu Sakata la Dawa za Kulevya
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mkoani Pwani Ridhiwani Kikwete, amefunguka kuhusu sakata la dawa za kulevya na kuipongeza serikali hususani Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kwa kuanzisha vita...
View ArticleAunt Ezekiel Aeleza Kitu Ambacho Kilimuumiza Sana Kwenye Mahusiano yake na...
eshoMsanii wa filamu ambaye ni mama wa mtoto mmoja, Aunt Ezekiel katika usiku wa siku ya wapendanao alifunguka na kuzungumzia kitu ambacho kilimuuza katika mahusiano yake na Mose Iyobo.Akiongea na...
View ArticleKinara Wa Kusambaza Taarifa Za Uongo Mitandaoni Akamatwa Jijini Dar
Kikosi Maalum cha Kupamba na na uhalifu kwa njia ya Mitandao cha Polisi Kanda Maalum Dar Es Salaam, kimefanikiwa kumkamata mtuhumiwa OMARY ABEDI BAKARI (23). Omary Abedi Bakari ni mwanafunzi wa zamani...
View ArticleQueen Darleen: Naumia Kuishi Bila Mpenzi
MWANAMUZIKI anayefanya vizuri akiwa chini ya Lebo ya ‘WCB’, ‘Queen Darleen’ amefunguka kuwa anaumizwa sana na hali ya kuishi bila mpenzi jambo ambalo limekuwa likimuumiza sana katika maisha yake ya...
View ArticleKiwanda Cha Minjingu Chamchefua Waziri Mkuu......Akitaka Kimuombe Radhi Rais...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema haridhiki na hali aliyoikuta kwenye kiwanda cha kutengeneza mbolea cha Minjingu baada ya kubaini kuwa wanatumia mifuko yenye lebo ya Kenya wakati mbolea hiyo...
View ArticleHONGERA SANA Grace Gideon Usiku Wako Ulifana sanaaa
Hatariiiii Afande Grace Mungu aiongoze familia yenu Mpya mnayoenda kuianza hongera Afande wanguUmetishà sana bi harus wangu @shangali58 @shangali58A post shared by Dr cheni (@drchenitz) on Feb 17,...
View ArticleMOVIE CLIP: Gate Keeper- Kutoka kwa Ray, Richie na Kajala
Filamu ya GATE KEEPER inatarajiwa kuingia sokoni tarehe 6 mwezi wa tatu mwaka huu.GATE KEEPER imechezwa na mastaa kibao katika tasnia ya bongo movie , kutana na Vincent Kigosi (Ray) Single Mtambalike...
View ArticleHongera mr and mrs Saddam kiukweli mmependeza sana
Hongera mr and mrs Saddam kiukweli mmependeza sana This is my family hapo kakosekana mdogo Tu feisal@elizabethmichaelofficial asantee Kwa kujaKweliii mmenoga hongerenAssntee MC's na wotee mliokuja...
View ArticleBOOK NOW MC DR CHENII CALL 0754 222 201
Matukio Mbalimbali ya sherehe ambazo Dr cheni alikua MCMahsein Awadh Said Maarufu kwa jina la Dr cheni katika tasnia ya filamu ambaye kwa sasa pia ni MC Mshereheshaji wa sherehe kama harusi na matukio...
View ArticleSHILOLE ATOA SABABU ZA MGAHAWA WAKE KUUPA JINA LA TRUMP
Msanii wa muziki na filamu Shilole amefungua mgahawa wake mpya Kinondoni jijini Dar es saalam na kuupa jina ‘Trump Food’.Akizungumza na Bongo5 wiki hii, Shilole amedai amelipenda jina hilo kwa kuwa...
View ArticleWema Sepetu Atinga Maahakamani....Kesi Yaahirishwa Hadi March 15
Malkia wa filamu Wema Sepetu Jumatano hii alirudi Mahakamani baada ya kuachiwa kwa dhamana kwenye sakata la dawa za kulevya.Wema Sepetu akiwa na Martin KadindaKesi hiyo imeahirishwa baada ya upande wa...
View Article