Rais Magufuli apigilia msumari Sakata la Madawa ya Kulevya......Ataka Polisi...
Rais Magufuli ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuwakamata wanaohusika na Dawa za Kulevya bila kuangalia umaarufu au cheo cha mtu.Magufuli ameyasema hayo leo alipokuwa akizungumza mara baada ya...
View ArticleHaya Hapa Maamuzi ya Mahakama Kuhusu Wasanii Wanaoshtakiwa Kwa Dawa za Kulevya
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo imetoa maamuzi kwa baadhi ya wasanii waliokuwa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya.BONYEZA...
View Article50 CENT AMKUBALI DIAMOND PLATINUMZ APOST VIDEO YAKE KWENYE SITE YAKE
Check out Tanzanian award winner, Diamond Platnumz new video, ” Marry You” featuring Ne-Yo.
View ArticleDaktari wa Macho Atoa Ushahidi Mzito ‘Kesi ya Scorpion Mtoboa Macho’.
Shahidi wa nne katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kujeruhi inayomkabili Salum Njwete, ameieleza Mahakama kuwa mtu aliyehusika kumtoa macho Said Mrisho alikuwa ni mzoefu wa vitendo hivyo...
View ArticleWema Sepetu Kaachiwa Huru Kwa Dhamana ya Sh. Milioni 5
Msanii wa filamu nchini na Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, mchana huu amepandishwa kizimbani kwenye mahamaka ya Kisutu jijini Dar es Salaam.Akisomewa mashtaka na wakili wa serikali Nassoro Katuga...
View ArticleMARRY YOU YA DIAMOND PLATNUMZ YATENGENEZA REKODI HII MPYA ‘VEVO’
Diamond Platnumz amezidi kuendelea kutengeneza rekodi kwenye muziki wake, na hii ni mpya kupitia ngoma yake aliyomshirikisha Ne-Yo kutoka Marekani, “Marry You”.Rekodi hiyo mpya ni kutoka kwenye ‘Marry...
View ArticleAlichokisema Baba Diamond Kuhusu Nani Mkali Kati ya Mwanae Diamond na Darasa
BABA wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Abdul Jumaa amefunguka kuwa Mwanamuziki, Shariff Thabeet ‘Darassa’ licha ya watu kusema yupo juu lakini hawezi kumshinda au kufikia levo alizopo...
View ArticleMhubiri Awapa Waumini Dawa ya Kuua Panya
Mhubiri mmoja nchini Afrika Kusini amekuwa akiwapa waumia sumu ya kuua panya kama moja ya njia ya kujaribu imani yao.Light Monyeki, ambaye anaongoza kanisa la Grace Living Hope Ministries mjini...
View ArticlePicha: 40 ya mtoto wa Diamond yafana
Msanii wa muziki Diamond Platnum Juamosi hii amefanya sherehe ya arobaini ya mwanaye Nillan ambapo kwa mara ya kwanza, mtoto huyo ameoneshwa sura hadharani katika sherehe ya aina yake, iliyofanyika...
View ArticlePaul Makonda Afunguka Kuitwa na Bunge Kwa Ajili ya Kuhojiwa
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema hawezi kufika mbele ya Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge kuhojiwa kwa kuwa hajapokea barua ya kuitwa.Makonda jana alisema hatoweza kwenda...
View ArticleMAMBO USIYOYAFAHAMU KUHUSU MALKIA ELIZABERT
1. Haitaji leseni ya gari, huendesha bila leseni2.Husafiri bila passport nje ya nchi3.Huwa anasherehekea siku ya kuzaliwa mara mbili, ile ya kweli 21 april na jumamosi ya jullyBONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleTID AMEYASEMA HAYA BAADA YA KUMTEMBELA RC MAKONDA NYUMBANI KWAKE
Leo February 11 2017 Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alimualika nyumbani kwake Masaki mwimbaji maarufu wa Bongofleva T.I.D ambaye siku 3 zilizopita aliachiwa kwa dhamana baada ya kulazwa...
View ArticleMakonda Kusoma Orodha ya Tatu ya Vinara wa Unga leo
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo anatarajia kutaja majina mengine ya vinara wanaotuhumiwa kwenye biashara ya madawa ya kulevya.Katika awamu ya pili, watu mashuhuri wakiwemo Mwenyekiti wa...
View ArticleTID Akiri Kutumua Madawa ya Kulevya Mbele ya Makonda,Alia Asemehewe.
Hitmaker wa Zeze, Khalid Mohamed maarufu kama TID, amekiri kuwa mmoja wa mastaa walioathirika na matumizi ya madawa ya kulevya.Akizungumza leo kwenye mkutano ulioandaliwa na mkuu wa mkoa wa Dar es...
View ArticleKwa Mara ya Kwanza Toka Atoke Polisi,Wema Sepetu Kayazungumza Haya
Wema Sepetu ametoa shukrani kwa watu wote waliokuwa naye bega kwa bega tangu ashikiliwe rumande kufuatia kutajwa kwenye orodha ya kwanza ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ya watu wanaohusishwa na...
View ArticleMAJINA YA MAHAKIMU NA MAJAJI WALIOVURUGA KESI ZA WAUZA UNGA KUTUA KWA JAJI MKUU
Kamishina wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya nchini Rogers Sianga Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiJAJI Mkuu anatarajia kupokea orodha ya majina ya mahakimu na majaji ambao wamevuga kesi za...
View Article