Maneno ya Wolper ...Embu ona jamani macho natia huruma kama na upwiro kilo 200hii mikaka yetu ya kibongo kuna mida inaboa kuna mida inakuwa poa sasa Madee Rais wa Manzese nikuulize swali.ulishindwa nini kunyanyua ka simu kako nakunipigia hata kinafki na Kunambia unani Video Queen katuni sjui sanamu unajua wewe....acha Dharau wewe Pumbavu piga Simu Omba kwanza....Hata kma umlipi mtu sisi tunasaidiana wote wasanii leo kwangu kesho kwako,
EME. nakunishika kimahaba umenishika una dhambi wewe kaka na suti umenivalia kwma unaenda kutoa posa kwa Masawe.sasa onyooo siku nyingne ombaga utapewa acha kuparamia kama vile unaomba round kwa kimada wako kwanza unitafute utoe Hata faini ya kuniweka macho kama nimevuta ugoro...ila nyimbo kali nisiwe mchoyo na nimependa idea ila mwambie aliyenichonga nakunipa hiyo Shepu nitampasua