Tajiri Namba Moja Duniani Bill Gates Aitengea Tanzania Kiasi hiki cha Fedha
BONYEZA HAPA LEWIS MBONDE BLOG KUSOMA ZAIDI
View Article'Kuna Mtu Amelipwa Pesa ili Aniue' -Saida Karoli
Ikiwa imepita miezi miwili toka msanii wa nyimbo za asili Tanzania Said Karoli arudi rasmi kwenye muziki na kuachia kazi zake mbili zilizopata mafanikio na kuwafikia watu wengi zaidi ameibuka na kudai...
View ArticleChid Benz Akamatwa tena na dawa za kulevya
Jeshi la polisi Mkoa wa Ilala, limewakamata watu saba akiwemo msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro maarufu kama ‘Chid Benz’ kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroine.BONYEZA...
View ArticleWafuasi 13 wa Cuf Watoka Nduki Mahakamani Baada ya Kesi Yao...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru wafuasi 22 wa Chama cha CUF waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka manne, likiwemo la kukutwa na mabomu ya machozi 10, ambayo yanatumiwa na Jeshi la...
View ArticleWalemavu 350 wajitokeza kupokea miguu ya bandia kwa RC Makonda
Zaidi ya walemavu 350 wamejitokeza katika zoezi la upimaji miguu ili kupatiwa miguu ya bandia itakayowasaidia kufanya shughuli zao kirahisi.RC Makonda akiwa na walemavu haoZoezi hilo limeandaliwa na...
View ArticleMke wa Msanii Mr. Blue Atoa Sababu za Kupigana Migumi na Mumewe Mara Kwa Mara
Mke wa msanii wa Hip hop bongo Mr. Blue Bi. Wahida maarufu kwa jina la Wahida wa Mr. Blue, ametoa sababu ambayo iliwafanya yeye na mumewe kupigana mara kwa mara.Akizungumza kwenye kipindi cha Planet...
View ArticleWOLPER AMTEMEA POVU MADEE KISA HIKI HAPA
Maneno ya Wolper ...Embu ona jamani macho natia huruma kama na upwiro kilo 200hii mikaka yetu ya kibongo kuna mida inaboa kuna mida inakuwa poa sasa Madee Rais wa Manzese nikuulize swali.ulishindwa...
View ArticleDokii Aamua Kumrudia Mungu
Msanii Dokii amewataka Watanzania waache kumfuatilia maisha yake, kwani maisha yake hayawahusu hata kidogo, hususani kwa kipindi hiki ambacho ameamua kuokokaAkizungumza kwenye Planet Bongo ya East...
View ArticleMATUKIO YA HARUSI NA SEND OFF AMBAYO NILIHUDUMU KAMA MC
Call now these numbers for booking Mc Dr Cheni+255 754 222 201Admin: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194
View ArticleRoma arudi nchini kimya kimya, Aahidi kuweka wazi kila kitu kuhusu ‘Zimbabwe’
Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini Tanzania, Roma Mkatoliki amewasili jana usiku akitokea nchini Zimbabwe alikoenda kikazi.Roma MkatolikiRoma Mkatoliki ambaye ameachia wimbo wake mpya wa Zimbabwe wiki...
View ArticleKUPIMA UKIMWI NCHINI ZAMBIA NI LAZIMA SIO HIARI TENA
Rais wa Zambia, Edgar Lungu, ametangaza kwamba wananchi wote wanaofika katika vituo vya afya vya serikali wapimwe virusi vya Ukimwi kwa lazima, wapatiwe ushauri nasaha na tiba.Rais Lungu amesema, sera...
View ArticleBodaboda Wapigwa Marufuku Kubeba Wanafunzi na Watoto Chini ya Miaka 10
Jeshi la Polisi August 15, 2017 limetoa tamko la kupiga marufuku Waendesha Bodaboda kubeba watoto wenye umri wa chini ya miaka 10 na kwamba atakayekiuka agizo hilo pamoja na mzazi aliyeruhusu mwanawe...
View ArticleDiamond amehusika kufanikisha kolabo ya Madee na Tekno
Msanii Madee amebainisha kuwa Diamond Platnumz anahusika kufanikisha kolabo yake na Tekno.Madee amesema haikuwa ngumu sana kumpata muibaji huyo kutoka Nigeria na pia si yeye aliyeangaikia kolabo hiyo...
View ArticleHii Hapa Ratiba ya Mapokezi ya Majeruhi wa Lucky Vicent Hii Hapa
Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ametoa ratiba ya majeruhi wa shule ya Lucky Vicent ya jijini Arusha ambao walikuwa nchini Marekani kimatibabu kufuatia ajali walioipata.Mhe. Nyarandu...
View ArticleJamaa Amuua Mpenzi Wake Kisha na Yeye Kujiua Dar
Binti mmoja aliyefahamika kwa jina la Maria Pius amezikwa leo makaburi ya Mwananyamala kwa Kopa baada ya mpenzi wake kumuua kwa kumpiga na kitu chenye nchi kali kisha mwili wake kuutupa kwenye shamba...
View Article